ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 461
- 1,594
Rwanda ni nchi ndogo ki eneo lakini ina raia 13,000,000.
Ukubwa wa jeshi la Rwanda ni kwamba Ina active personnel 33,000
Jeshi 33000 lenye serikali imara ni ngumu Sana ku-invade.
Tujifunze Vita ya Israel na Hamas. Israel pamoja nakuwa na jeshi Bora na zana bora za kivita, lakini mpaka sasa hivi wasumbuwana na kikundi kidogo cha ugaidi.
USA pamoja na kuwa na jeshi bora walihangaika miaka 20 na Kikundi cha Tariban
Ndugu zangu tuache utani. Sio rahisi kuivamia Rwanda. Vita sio lelemama. Vita ni kazi sio rahisi kuangusha jeshi la nchi. Tuache utani.