Tujifunze kufanya tathmini ya ndoa kila baada ya miezi sita

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu wapendwa
najua wajasiriamali watanielewa mapema ..lakini leo hii tukokwenye ujasiriamali wa mapenzi
kila kitu kila jambo lazima liwe na matarajio fulani..katika matarajio ni lazima upitie baadhi ya mambo moja wapo ni tathmini...
Tukumbuke wengi tunaingia kufanya tathmini kabla ya ndoa ili uweze kujua huyu anafaa kuwa na mimi mpaka kufa ama mpaka nikifka icu ama nikiwa wodini atakuwa ashanikimbia

vivyo hivyo baada ya kuamini kwamba ndie katoka kwa mungu naomba leo siku nzima tunafuarahia kuona gari zikiwa na rangi mbali mbali kusubiri mchan na wengine sikuhizi wamemamua kuoana saa kumi na mbili....

Sisi tulioingia kwenye jamvi ni vyema siku kama hizi hatakama ujaalikwa kwa sababu ya aubaili wako kwenye harusi yyoyote ni vyema chukua muda huu kuanza kufanya tathmini ya ndoa yako
angalia
1..wapi umekosea
2.nini mwenzako apendi umfanyie
3..angalia je kama baba unahudumia familia vilivyo??unafanya majukumu yanayostahili kama mzazi??
4..kaeni muangalie mnaitaji ndoa yenu iweje hiiikijumuisha maisha yenu kiujumla...na ichukue muda gani muwe mmefanikisha malengo yenu
5..angalia wapi mwenzio huwa anafurahia kitu unapokifanya..na hililitakufanya kuwa na furaha popote ukialikwa wakati wenzio wanaandikwa kwenye kadi ya mr n mrs xxxx we unaishia kukata mr ama mrs na kwenda mwenyewe wakati umeshaolewa hiyo aisaidiii huyo ni wako wa maisha soln jaribu kuangalia wapi mnakosea wapi mnafurahia na nini mnatakiitaji kuwekeza kwenye ndoa zenu..wajasiriamali wanawekeza pesa na wewe unatakiwa kuwekeza upendo madears kama mnaitaji kufika pale mnapoitaji kwenye ndoa

wish u all the best vyema ukaangalia hii divine invest ikusaidie kufurahia ndoa yako
jumamosi njema
 
Back
Top Bottom