tuinue vichwa vyetu

kulwa doto

New Member
Dec 26, 2011
4
0
kwa kufuatilia kitabu cha the key of this blood,utaona jinsi freemansons na wakuu wa din zetu wanavyochangia ktk swalazma la "new world order"kama jf jiandae kwa upande uliosalama
 
Huko tanzania mmeshaanza kutekeleza NWO: tazama Z'bar kimebaki chama kimoja tu, na kuanzia mwakakesho hakuna kununua wala kuuza bila kuwa na kitambulisho chenye alama ya mnyama. Na sasa kutokana na ulegelege wa serikali kutimiza matakwa ya wenye NWO ndo maana vitu muhimu kama mafuta, umeme nk havipatikani japo viko kwa wingi.
 
Back
Top Bottom