Tuige Korea Kaskazini kupiga marufuku shughuli za kidini

ngungwangungwa

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
642
554
Wanabodi
Salaam;

Tukiacha ushabiki wa kidini,hapa nchini Tanzania kwa sasa dini nyingi hazipo kwa ajili ya kuwahubiri watu juu ya ufalme wa Mungu,bali zipo kwa ajili ya watu.

Dini zimegeuka miradi ya kunufaisha watu,haishangazi tena kuona mchungaji au kasisi kuishi maisha ya anasa huku waumini wake wakiendelea kupauka!

Nchi ya korea kaskazini shughuli zote za kidini zilishapigwa marufuku na ukionekana ukihuburi ukithibitishwa ni kifungo cha maisha au kunyongwa.

Natamani na sisi tuwe km korea,kuna wamama wananyonywa kila uchwao na hawa jamaa. Kuna ahueni kidogo kwa wenzetu waislamu ukilinganisha na sisi wakristu. Kila mtu anajua hili,tumuombe Rais apige marufuku ili watu wapate muda wa kufanyakazi badala ya kushughulikia mambo ya kufikirika.

Nawasilisha.
 
Mimi si mshabiki wa dini, wala siamini katika kuwapo kwa mungu.

Lakini napeda uhuru wa kuabudu kwa atu wote kuliko ninavyochukia mabya ya din.

Uhuru wa kuabudu ni sehemu ya Azimio a kimataifa a haki za binadamu.

Kama kunawatu wanaleta fyoofyoko za kidi, washughulikiwe.

Usitake kuleta mtego wa panya utakaokamata mpaka paka wanaokusaidia kumaliza panya.

Ach waaoamini din waamini nakuabudu wanavyotaka. Shughulikia wanaovunja sheria.
 
Yaani umeongea kilichokuwepo akilini mwangu kwa muda mrefu ila nilikuwa naogopa kusulubiwa hivyo nikawa kimya. Em ona uzalishaji unavyodorora kipindi hiki cha birthday ya Mtume Mohammed na Jesus Christ.., tupige ban tu shughuli zote za kidini.., maana hakuna namna
 
Tumezoea kufanya vitu vingi kwa ushabiki,lkn kiuhalisia dini hapa nchini kwetu nalo jipu! Bila kulitumbua ni hatari.
 
Mnapoleta mada jaribuni kuziweka katika mizania na athari zake kijamii, kiuchumi, kisiasa ili mwisho wa siku ziwe na matokea chanya kwenye jamii yetu, uhuru wa kuabudu ni haki ya kila raia maadama havunji sheria zilizowekwa
 
Mafirauni bwana!!!!! Mko serious Kabisa? Kuna mtu kalazimishwa kwenda kuabudu??? Acheni mambo ya ajabu.... Mnaacha kuongelea mambo yenye maslahi mapana ya taifa, mnazungumzia dini, kweli??? Hivi ukifuta shughuli za dini uchumi utaongezeka kwa % Ngapi?? Una uhakika gani Kuwa ukifuta shughuli za dini watu hao wataenda katika uzalishaji??? Rekebisheni umeme kwanza halafu futeni shughuli za kidini tuingie viwandani.
 
Mnapoleta mada jaribuni kuziweka katika mizania na athari zake kijamii, kiuchumi, kisiasa ili mwisho wa siku ziwe na matokea chanya kwenye jamii yetu, uhuru wa kuabudu ni haki ya kila raia maadama havunji sheria zilizowekwa
mkuu adamarcool ni kweli unachosema,dini ni haki km zilivyo haki zingine. Lkn mkuu hii haki ya kuabudu imeshakuwa na tatizo kwa sababu inawanyonya wengine!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi
Salaam;

Tukiacha ushabiki wa kidini,hapa nchini Tanzania kwa sasa dini nyingi hazipo kwa ajili ya kuwahubiri watu juu ya ufalme wa Mungu,bali zipo kwa ajili ya watu.

Dini zimegeuka miradi ya kunufaisha watu,haishangazi tena kuona mchungaji au kasisi kuishi maisha ya anasa huku waumini wake wakiendelea kupauka!

Nchi ya korea kaskazini shughuli zote za kidini zilishapigwa marufuku na ukionekana ukihuburi ukithibitishwa ni kifungo cha maisha au kunyongwa.

Natamani na sisi tuwe km korea,kuna wamama wananyonywa kila uchwao na hawa jamaa. Kuna ahueni kidogo kwa wenzetu waislamu ukilinganisha na sisi wakristu. Kila mtu anajua hili,tumuombe Rais apige marufuku ili watu wapate muda wa kufanyakazi badala ya kushughulikia mambo ya kufikirika.

Nawasilisha.

Cc Dawati la jinsia
 
Last edited by a moderator:
Una uhuru wa kutoa maoni yoyote ilimradi haujavunja sheria.

Hata hivyo, kwa kifupi maoni haya ni ya kushangaza sana.

Yaani Tanzania iwe kama Korea Kaskazini? Niishie hapa...
 
Nakuunga mkono,nashangaa wanapiga marufuku mikutano ya kisiasa,nashangaa kutopiga marufuku dini,mikutano ya din,matamsha ya mziki wa injili,maana dini kwa sasa ni yawapiga dili.
 
Korea kaskazini ukiondoa ubunifu wao wa siraha hatarishi wao ndio inatakiwa watuige sisi mambo mengi..kufuta kuabudu hapo hapana mkuu..
 
Ushauri huu haufai kabisa.Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kuchagua.Anayepotoshwa kwa ujinga wake ameamua mwenyewe kwa utashi wake kupotoshwa.Akipenda anaweza pia kuamua neema.Mungu ametupa uwezo wa kufanya uamuzi huo.Wapo watumishi wa kweli wa Mungu,ingawa wapo pia watumishi wengi wa Shetani.Ni vema kila mtu akapewa uhuru wa kuchagua.
Wanabodi
Salaam;

Tukiacha ushabiki wa kidini,hapa nchini Tanzania kwa sasa dini nyingi hazipo kwa ajili ya kuwahubiri watu juu ya ufalme wa Mungu,bali zipo kwa ajili ya watu.

Dini zimegeuka miradi ya kunufaisha watu,haishangazi tena kuona mchungaji au kasisi kuishi maisha ya anasa huku waumini wake wakiendelea kupauka!

Nchi ya korea kaskazini shughuli zote za kidini zilishapigwa marufuku na ukionekana ukihuburi ukithibitishwa ni kifungo cha maisha au kunyongwa.

Natamani na sisi tuwe km korea,kuna wamama wananyonywa kila uchwao na hawa jamaa. Kuna ahueni kidogo kwa wenzetu waislamu ukilinganisha na sisi wakristu. Kila mtu anajua hili,tumuombe Rais apige marufuku ili watu wapate muda wa kufanyakazi badala ya kushughulikia mambo ya kufikirika.

Nawasilisha.
 
Wanabodi
Salaam;

Tukiacha ushabiki wa kidini,hapa nchini Tanzania kwa sasa dini nyingi hazipo kwa ajili ya kuwahubiri watu juu ya ufalme wa Mungu,bali zipo kwa ajili ya watu.

Dini zimegeuka miradi ya kunufaisha watu,haishangazi tena kuona mchungaji au kasisi kuishi maisha ya anasa huku waumini wake wakiendelea kupauka!

Nchi ya korea kaskazini shughuli zote za kidini zilishapigwa marufuku na ukionekana ukihuburi ukithibitishwa ni kifungo cha maisha au kunyongwa.

Natamani na sisi tuwe km korea,kuna wamama wananyonywa kila uchwao na hawa jamaa. Kuna ahueni kidogo kwa wenzetu waislamu ukilinganisha na sisi wakristu. Kila mtu anajua hili,tumuombe Rais apige marufuku ili watu wapate muda wa kufanyakazi badala ya kushughulikia mambo ya kufikirika.

Nawasilisha.

kweli kabisa juzi kanisa la morovian lillilopo kinondoni walikuwa wanazichapa kisa mkwanja mchungujaji kasaini cheki ya milioni mia tano halafu pesa haionekani imekwenda wapi
 
Hatuko wamoja kwa imani zetu. m
na wengine huamini hadi kukaribia ukichaa. wengine hata dawa hawanywi kwa kuamini miujiza tu. Mungu angetuweka pamoja tukaamini namna moja kama alivyo yeye mmoja. asiache tukagombana juu yake.
Ni vizuri hata asyeamini akaachwa huru. wengine wanakataliwa tu kisa hawaamini pamoja.
Siungi mkono kupiga marufuku dini
 
Watu wako Kuabudu jumatatu hadi Jumamosi..na Jumapili nashangaa bado wanakemewa mapepo yawatoke...sijui mapepo yao yakoje..
 
Haya ni mawazo ya kihuni kupinga injili isihubiriwe kwa kila kiumbe.Wale ni wakomunisti hawaamini uwepo wa Mungu,msitake giza la kiroho liingie nchini.
 
Back
Top Bottom