Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

- You know what? huko mahakamani nitamfunua wazi Kiongozi wenu aliyetaka kumbaka demu moja kule London, yaani nyie mmeoza sana!

le mutuz

Hivi nani atakuwa na muda wa kwenda kuhangaika na lizee kama wewe mahakamani , ili upate umaarufu? Nani ana muda na wewe lizee, ungekuwa majuu mpaka leo ungepaswa kuwa kwenye makamb ya kulea mizee kama wewe kwani ungekufa kwa baridi.

Hilo lizee lina matatizo mengi sana , kwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa wa kifamilia na ndugu zake kuhusu urithi wa mali wakati John bado hajafa , linataka lipewe jukumu la kuendesha moja ya hoteli za malecela iliyopo Merlborn Australia. Ila limekataliwa kutokana na elimu ndogo ,.........
 
-, ha! ha!

- Unajua chama chako Chadema kinatumia hela ngapi kuwalipa waandishi wa habari mjini kusudi wasiandike sana matatizo mliyonayo sasa hivi? ha! ha! ha! ha! huko ndani kwenue hakuko salama poleni sana!

le mutuz
Halafu tunapokuwa serious hatuhitaji jitu zima kujichekesha chekesha kama ni hiyo biashara uliyokuwa unafanya huko USA ni huko huko hatu hitaji huo ujinga huku Bongo...
 
Hivi nani atakuwa na muda wa kwenda kuhangaika na lizee kama wewe mahakamani , ili upate umaarufu? Nani ana muda na wewe lizee, ungekuwa majuu mpaka leo ungepaswa kuwa kwenye makamb ya kulea mizee kama wewe kwani ungekufa kwa baridi.

Hilo lizee lina matatizo mengi sana , kwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa wa kifamilia na ndugu zake kuhusu urithi wa mali wakati John bado hajafa , linataka lipewe jukumu la kuendesha moja ya hoteli za malecela iliyopo Merlborn Australia. Ila limekataliwa kutokana na elimu ndogo ,.........
Kama ni mahakamani ni afadhali tumfunge au tumnyonge baba yake kwa ufisadi aliolifisadi taifa hili...
 
- I know lakini sikuwa DJ au? ha! ha! ha!

le mutuz

Kazi ya UDJ inahitaji kutumia akili , sasa wewe ungeifanyaje wakati huna akili? Mizee mingine bwana .......kweli kuzeeka ni kubaya sana yaani lizee hili linajikuta linabwabwaja tuu kama teja kumbe halina dili......bongo noma kuna waoaji siku hizi? Mibaharia iliyofeli kama hilo huwa inatafutiwa posa tuuu.....
 
Mbona mnakuja na majibu mepesi kwa hoja nyepesi? Jibuni tuhuma za Shonza!
Majibu mepesi kuhusu nini ambayo unasema wamekuja nayo?Umeambiwa kuna msemaji wa Chadema hapa mpaka utake ajibu tuhuma?
 
Siamini kama w.Malecela ana miaka 52 huku unakula na kulala kwa baba. mmh!!!. Maana ni karibu sawa na umri wa baba yangu. I can't imagine baba yangu mwenye elimu ya msingi kama anaweza kufanya vitu kama anavyofanya bw Malecela.

Wakuu hebu mtusaidie ambao hatulifahamu hili Dubwasha lenye kichwa cha kufugia nywele! Hivi inawezekana likawa na miaka 52? (ina maana limezaliwa wakati wa uhuru?) Hovyo kabisa!! Hivi kumbe bado linakula na kuny... kwa baba? Aibu iliyoje baba zima kuendelea kulishwa na baba? Yaani mpaka watoto wanakulia kwa babake?

Bure kabisa! Hili ni la kupuuza!!!
 
Kutwa kucha Bongo utalikuta kwenye hotel na pubs mbalimbali likivizia vinywaji kutoka kwa washikaji halina hata makazi ya kudumu .....ole wako usilikaribie maana litakungangania mpaka ulihudumie .......
 
JAMANI msameheni bure. Kutoswa kwenye CHAGUZI mbali mbali alizojaribu KUMEMPAGAWISHA.

Mizee kama hii ipo mingi Tanzania , lipo hili, LE mutus na lingine linaitwa John Tendwa .........yapo na mengine mengi sasa tukiwa kila mara tunayasamehe ama kuyapuuza yanavimba vichwa .......ni heri tuyaambie ukweli ili yajue kuwa kuna watu wengine wanayafahamu vizuri hivyo kabla hayajaandika yanapaswa kutafakari kwa kina . Lipo lizee lingine linaitwa Wassira ......yapo mengi sana kwa kweli.......
 
Hakuna mahali P.Aweda amesema atakupeleka mahakamani, naona umesoma heading ukaanza kupost. Wewe thibitisha tuhuma ulizo toa dhidi ya Heche au nyamaza kimya,uone Aweda atakushughulikiaje, swala lako la kuleta uzushi humu jamvini.
 
- ha! ha! ha! ha! ha! ha!, kweli unaweza kunilinganisha mimi na wewe, unakuja bongo unaogopa kwenda kwenu kwa sababu kubovu unaishia kukaa Protea? Mzee mzima kazi kufanya miparty huko majuu kwenu Kimara kunasikitisha hakuna hata choo, wewe unafanya miparty huko majuu, ndio utanilinganisha mimi na wewe? ha! ha!

le big show
 
mkuu Sikonge unataka kumkopa le Mutuz?
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Mzito Kabwela

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Acha fix chama, Inawezekana vipi kula kulala akopwe? labda kama lemutuz ndiye anataka kumpiga mzinga Sikonge
Halafu siku hizi kiwango chako cha mipasho kimepanda sana, hivi ulipokuwa state ulikwenda kujifunza muziki wa mwambao?
 
Last edited by a moderator:
- Pole sana, nikikujibu wenye akili watashindwa kujua mzima ni nani kati yetu ila naona ule ugonjwa wa akili katika familia yenu na wewe unao, ha! ha! ha!

- Naoana hapa hamna hoja ngoja nimsubiri jamaa mahakamani tu!

le mutuz

Usijichekeshe hapa , mimi sikutaki na unajua hilo na huo ndio ugomvi wetu siku zote , wana jf mnaweza kuona jinsi ambavyo tunafahamiana na hili lizee sasa nimeamua kuliweka hadharani ili mlijue likoje na muweze kuchukua tahadhari za kina kila mara mlionapo ama kusikia lipo mtaani kwenu.......jitu miaka 52 halina hata jukumu la kulea familia , sasa hili linataka kuongoza wakati kipimo kidogo cha kuongoza familia ya watu wawili limeshindwa sasa linawezaje kuongoza jamii........,
 
Hakuna mahali P.Aweda amesema atakupeleka mahakamani, naona umesoma heading ukaanza kupost. Wewe thibitisha tuhuma ulizo toa dhidi ya Heche au nyamaza kimya,uone Aweda atakushughulikiaje, swala lako la kuleta uzushi humu jamvini.

- Amesema baada ya Siku tatu atanipeleka mahakamani mbona zimeshapita sasa hajaenda anangoja nini? ha! ha! ha! Vijana wadogo mnatishia nyau watuwazima? ha! ha1

le mutuz
 
- Unajua mkuu nilikuwa ninaumwa lakini jana kuna mtu alinipigia kwamba huku JF kuna kitu kama hiki, powa sasa nimepona nahisi toka uweke huu uzi ni siku tatua tayari, wewe Tangulia tu huko Mahakamani I will be more than happy kukutana na wewe Mahakamani ili ujifunze mengi usiyajua kuhusu Chadema, ha! ha! ha!

- Brother karibu sana nikufundishe how Chadema operates, na pesa ngapi za chama chako wanatumia kuwalipa waandishiw a habari hapa mjini ili wawaandike vizuri, pesa ambazo zingeweza kusaidia chama kujiimarisha, lakini mnapoteza na waandishi hapa mjini, karibu sana bro tukutane mahakamani cause nahisi siku tatu ulizotoa zimeshapita tayari, au? ha! ha! ha!

le mutuz

Akishindwa nitaanzisha uzi kumtangaza W. Malecela kuwa mzushi na mwongo baada ya siku tatu nilizompa na wanajf wote lazima wamwone kama Mwongo na Mzushi na asiyepaswa kuaminiwa tena hapa JF. Kwa kuanzia adhabu hiyo inamtosha.
Bila kufanya hivi, heshima ya JF itashuka maana itaonekana kama JF is NOT the home of great thinkers But the home of big lies.

Nasubiri ushahidi wa W. Malecela.
Kweli wewe unaelimu ya Meli, Wapi alipo sema atakupeleka mahakamani mbona unatafuta ujiko wa kipuuzi puuzi, unakimbilia kujibu bila kusoma madai ya mleta mada ndiyo maana menyekiti wenu alisaini sheria bila kuisoma...
 
Uzushi na uongo ni hulka yao, hawajui kuwa propaganda za aina hiyo zishapitwa na wakati.
 
- Wewe ndio wmenye tatizo na mimi kwa sababu Mke wako ananizimikia na ndio maana siku nilipoondoka JFK ni yeye tu niliyemruhusu kuja kuniaga kwenye ndege wewe akakuweka nje unalinda gari, pole sana!! ha! ha! ha!

le mutuz

Hivi kumbe siku hizi watu wanaweza kuingia kwenye ndege na kumuaga mtu na kisha akashuka kama ilivyo kwenye mabasi ya ubungo ? Kumba hakuna tena issue za boarding pass wala security check , wala passport controll .......kweli ukiwa lizee unapoteza hata kumbukumbu ......utachekwa wewe.........wadanganye wajinga sio wanaojua ........bado unanichekea ?
 
Acha fix chama, Inawezekana vipi kula kulala akopwe? labda kama lemutuz ndiye anataka kumpiga mzinga Sikonge
Halafu siku hizi kiwango chako cha mipasho kimepanda sana, hivi ulipokuwa state ulikwenda kujifunza muziki wa mwambao?

Mkuu Mwita Maranya
Hii game ni ya le mutuz kamanda wako Sikonge kanilazimisha kuingia baada ya kumwaga uharo;
vinginevyo sikuwa na lolote la kuchangia zaidi ya kumuuliza Mikael P Aweda kama amegeuka kuwa msemaji wa Heche. Mkuu nimeongea kwa lugha ya kiungwana na kistaarab mipasho is jadi yangu; naongea ukweli mtupu bila ya kumfurahisha au kumuogopa mtu. Kamanda wako jinsi alivyompamba le Mutuz ni wazi anataka kupiga mzinga huwezi kuamini yeye ndie mpigaji madongo mkubwa mara ghafla ajifanye mtu wa kumsifia le Mutuz hapo hata wewe amekushangaza; nawasiliana na le Mutuz ajiandae na kukabiliana na kikosi cha mizinga
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom