Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo.

Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe. Wanasheia jitokezeni mtusaidie

View attachment 2654851
Mbarawa alitaka kusaini kama Waziri wa miundombinu na Katibu Mkuu wa wizara akasita...Du! 😲
 
KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo.

Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe. Wanasheia jitokezeni mtusaidie

View attachment 2654851
tuma huo mkataba wa mauziano ya bandari tuuone
 
Tumeuzwa bei ya jumla au rejareja haileweki mpaka sahihi wanafoji kuna sehemu pia imesainiwa na hao wengine bila majina yao kuwepo , chunguzeni kwa makini.
 
KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo.

Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe. Wanasheia jitokezeni mtusaidie

View attachment 2654851
Kilichopo hapo ni mbarawa kutokana na haraka au pupa ya ku sign alijikuta ameanza ku sign sehemu ya katibu mkuu wa wizara.
 
Back
Top Bottom