Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,016
- 12,298
Tufute somo la historia shule zote kama tumeshindwa kufundishana historia yetu halisi Waafrika.
Kama mpaka sasa tumeshindwa fundishana kuhusu historia yetu halisi inayo tuhusu hapa duniani toka mwanzo mpaka hapa tulipo fikia toka kizazi cha mwanzo mpaka hiki kizazi tulichofikia ni bora somo la historia lifutwe tu.
Kama tumeshindwa kujua sisi ni wakina nani? Tumetoka wapi? tupo wapi? Na tunaenda wapi bora tufute tu somo la historia kila mtu ajipambanie kivyake kujua historia yake.
Haiwezekani historia yetu halisi hatuifahamu hadi leo ila tunachofanya ni kuokoteza tu tuhistoria twa hovyo walivyo tuasisi watu weupe na kutubeba kama mwanzo na mwisho wa historia yetu.
"Kama tunashindwa kujua tulipo toka kamwe hatuta fahamu huko tuendako tutakua tunajiendea tu kama kuku aliye katwa kichwa".