Tufanye Kazi Pamoja

Ndugu
Wana Jamii forums nina andika uzi huu kuomba nafasi ya kazi katika taasisi, shirika, kampuni yako/yenu.

Nina elimu ya shahada ya uzamili katika Maendeleo ya Jamii na Usimamizi wa Miradi yani (Master of Arts in Community Development and Project Management).

Nimekuwa nikifanya kazi katika eneo la maendeleo ya jamii na usimamizi wa miradi kwa miaka kadhaa na nina uzoefu wa kuendesha miradi mbalimbali ya kijamii na usimamizi wa biashara. Elimu yangu ya uzamili imenipa ujuzi wa kina katika kuandaa, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo yenye matokeo chanya kwa jamii. Pia nina ujuzi mkubwa wa kuandaa maandiko ya biashara na mradi.

Nina ujuzi mzuri wa kutatua matatizo, uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi katika timu na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na wadau mbalimbali. Pia nina ujuzi wa kutumia programu za kompyuta kwa ufanisi.

Nina imani kuwa ujuzi wangu na uzoefu vinaweza kuwa mchango mkubwa kwa taasisi, shirika ama kampuni. Napenda kupata fursa ya kuonyesha uwezo wangu katika kuchangia malengo na mipango ya taasisi yenu/yako.

Nina matumaini kuwa uta/mtazingatia maombi yangu na kuyapa kipaumbele. Nawashukuru kwa muda wako/wenu na natarajia kupata majibu hivi karibuni.

Mimi ni mwanume .
Umri miaka 29.
Kwa sasa niko Bagamoyo.
Barua Pepe: bigbestbusiness@gmail.com

Asante kwa kunipa fursa hii.

Kwa heshima kubwa,

Makatani
Mkuu pole kwa ukosefu wa ajira, ushauri wangu kwako, fikiria namna ya kujiajiri. Umesoma ili uelimike, Upeo wako wa elimu sio wa kutafuta ajira bali kuzalusha ajira.
 
Ndugu
Wana Jamii forums nina andika uzi huu kuomba nafasi ya kazi katika taasisi, shirika, kampuni yako/yenu.

Nina elimu ya shahada ya uzamili katika Maendeleo ya Jamii na Usimamizi wa Miradi yani (Master of Arts in Community Development and Project Management).

Nimekuwa nikifanya kazi katika eneo la maendeleo ya jamii na usimamizi wa miradi kwa miaka kadhaa na nina uzoefu wa kuendesha miradi mbalimbali ya kijamii na usimamizi wa biashara. Elimu yangu ya uzamili imenipa ujuzi wa kina katika kuandaa, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo yenye matokeo chanya kwa jamii. Pia nina ujuzi mkubwa wa kuandaa maandiko ya biashara na mradi.

Nina ujuzi mzuri wa kutatua matatizo, uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi katika timu na uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na wadau mbalimbali. Pia nina ujuzi wa kutumia programu za kompyuta kwa ufanisi.

Nina imani kuwa ujuzi wangu na uzoefu vinaweza kuwa mchango mkubwa kwa taasisi, shirika ama kampuni. Napenda kupata fursa ya kuonyesha uwezo wangu katika kuchangia malengo na mipango ya taasisi yenu/yako.

Nina matumaini kuwa uta/mtazingatia maombi yangu na kuyapa kipaumbele. Nawashukuru kwa muda wako/wenu na natarajia kupata majibu hivi karibuni.

Mimi ni mwanume .
Umri miaka 29.
Kwa sasa niko Bagamoyo.
Barua Pepe: bigbestbusiness@gmail.com

Asante kwa kunipa fursa hii.

Kwa heshima kubwa,

Makatani
Unakazana kutaja hiyo Shahada ya Umahiri ila unaacha kutaja Shahada ya kwanza. Ungekuwa unajua kwamba kwenye ajira wanazingatia zaidi ulichosomea kwenye Shahada ya kwanza usinge acha kuitaja.

Na sio Shahada ya uzamili ni shahada ya Umahiri kama unamaanisha (Master degee), sasa msomi wa shahada ya Umahiri unashindwa kuandika kwa mpangilio uzoefu wako wa kazi ueleweke. Eti miaka kadhaa, kadhaa unaweza kui quantify?

Eti elimu yangu ya uzamili dah yani bro unaonekana mweupe sana.. kwa hiyo wewe elimu yako ni hiyo ya uzamili, elimu ya shahada ya kwanza sio elimu..?
 
Back
Top Bottom