Tuanze kuwajadili wabunge Wapya wa mwaka 2010

Josh Michael

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,523
77
Katika Kipindi cha Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuja haja hapa JF kuweka sehemu maalumu kwa ajili ya kuwajadili wabunge wote wa mwaka 2010 ambao watagombea uchaguzi mwakani. Kuna ulazima wa kufanya hivyo ili tupate wabunge wa Kitaifa zaidi.
Hapa tutaweza kupata wabunge na kuwajua kuwa wametokea wapi na wanafanya nini na hata tabia zao. wale wote mwenye moyo hata kuamua kugombea Ubunge, tunawajua baadhi yetu wapo humo ndani ya JF na wengine wapo kwa majina bandio. Sasa umefika wakati kujitokeza hadharani iwe CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-MAGEUZI, TADEA, DP, TLP na hata vyama vingine pia

Kwa kufanya hivyo tutaweza kuwachunga, kuwauliza hata kuwajua kuliko ilivyo sasa, Je kama kuna mtu yoyote yule basi ajitoke sasa.
 
Kwa Upande wa CHADEMA, Dr. Slaa huyu atashinda bila ya ubishi.tunaomba Mungu ampe afya njema kabisa na moyo wa ujasiri zaidi. Ni Mbunge wa Kitaifa na Baba wa Wabunge wengi Tanzania.
 
Back
Top Bottom