Tuacheni utani Life la Majuu ni zaidi ya Mavumbini Tanzania

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Tuache ubishi na vichwa ngumu....aisee maisha ya majuu ni kubwa kuliko zaidi ya haya ya Bongo mavumbini.....Majuu ninayoizungumzia sio ile ya Slovania,Romania,Ureno na wenzie....majuu hii ni ile ya @USA,australia,canada na Ulaya magharibi ....wakuu huko watu wanakula bata si mchezo hakuna uzushi uzushi kama wa bongo mavumbini......
Questions....kwa

Now why should I want to go back to the nightmare called Tanzania? Not that I do not love tanzania; but that I love myself more. The almighty rescued me from that place many years ago. I have lived a good life here in the US. Why should I want to return to a place where on a daily basis, I would be angered by the actions of the government and almost everyone that surrounds me?
 
inatofauti gani na life in village is better than life in town. Form 1

mbona kuna topic nyingi tu very interesting na zenye manufaa

kwa nyongeza kupanga ni kuchagua, umeamua kuwa Ocol waache akina lawino nao wana fikra zao.
 
Hongera kwa hilo...Sisi wengine tutaendelea kushangweka na nightmare yetu hii hii...Tukipata chance tutakuja kukusabahi sio mbaya..otherwise,Tanzania na shida zake tutaendelea kukomaa nayo yaani saaanaaaa tuuuu kibishii..
 
Tanzania ndo mpango mzima,napenda sana bongo.Extended family.Ulaya siyo paradiso nako kuna matatizo yake.
 
inatofauti gani na life in village is better than life in town. Form 1

mbona kuna topic nyingi tu very interesting na zenye manufaa

kwa nyongeza kupanga ni kuchagua, umeamua kuwa Ocol waache akina lawino nao wana fikra zao.
Mkuu umelazimiswa kupitia hii thread?
 
tuache ubishi na vichwa ngumu....aisee maisha ya majuu ni kubwa kuliko zaidi ya haya ya bongo mavumbini.....majuu ninayoizungumzia sio ile ya slovania,romania,ureno na wenzie....majuu hii ni ile ya @usa,australia,canada na ulaya magharibi ....wakuu huko watu wanakula bata si mchezo hakuna uzushi uzushi kama wa bongo mavumbini......
Questions....kwa

now why should i want to go back to the nightmare called tanzania? Not that i do not love tanzania; but that i love myself more. The almighty rescued me from that place many years ago. I have lived a good life here in the us. Why should i want to return to a place where on a daily basis, i would be angered by the actions of the government and almost everyone that surrounds me?

ni wewe huyo?

Hongera kwa hilo...Sisi wengine tutaendelea kushangweka na nightmare yetu hii hii...Tukipata chance tutakuja kukusabahi sio mbaya..otherwise,Tanzania na shida zake tutaendelea kukomaa nayo yaani saaanaaaa tuuuu kibishii..

Kakosa FUPA huyo.
Angekuwa nalo BONGO ni zaidi ya huko anakoshadidia.

Awaulize wazungu kwanini wakiskia wanarudi kwao wanalia kama watoto!
 
Tuache ubishi na vichwa ngumu....aisee maisha ya majuu ni kubwa kuliko zaidi ya haya ya Bongo mavumbini.....Majuu ninayoizungumzia sio ile ya Slovania,Romania,Ureno na wenzie....majuu hii ni ile ya @USA,australia,canada na Ulaya magharibi ....wakuu huko watu wanakula bata si mchezo hakuna uzushi uzushi kama wa bongo mavumbini......
Questions....kwa

Now why should I want to go back to the nightmare called Tanzania? Not that I do not love tanzania; but that I love myself more. The almighty rescued me from that place many years ago. I have lived a good life here in the US. Why should I want to return to a place where on a daily basis, I would be angered by the actions of the government and almost everyone that surrounds me?
Changamoto tunazozipata ugenini zisaidie kuboresha nchi yetu, na si kuikimbia!...Nani atakayeibadilisha?
Nakushauri urudi nyumbani uungane na nduguzo, mumwondoe mkoloni mweusi!
Hata kama utastarehe vipi huko, lakini bado si kwenu!
 
Hongera kwa hilo...Sisi wengine tutaendelea kushangweka na nightmare yetu hii hii...Tukipata chance tutakuja kukusabahi sio mbaya..otherwise,Tanzania na shida zake tutaendelea kukomaa nayo yaani saaanaaaa tuuuu kibishii..
Tupo wote mavumbini....arifu
 
Kakosa FUPA huyo.
Angekuwa nalo BONGO ni zaidi ya huko anakoshadidia.

Awaulize wazungu kwanini wakiskia wanarudi kwao wanalia kama watoto!
Anakwambia hakuna sehemu yenye bata kama huko....sawaaa,ila hata sisi hatupo nyuma kwenye kula bata..kama kuna watu wanaweza wakajichanga ili wakatie heshima kwenye ulabu then ujue hata huku bata lina exist...kama mtu anaweza akajichanga ili akale bata na beibe wake nje ya mji basi ujue hata huku bata lipo..na wananchi wana-enjoy saaana tu,umeme umekatika..watu wanahamia kiwanja chenye upepo...au hapo hapo wanatoka nje wanapata AC ya M'Mungu....saaaaafi...
 
Hiyo paragraph yako ya mwisho kama inaonyesha upo USA au...nime-misunderstand hiyo statement? Correct me..
Nime copy somewhere nika edit na kuibandika hapo.....tupo wote tunakula mavumbi arifu....wenzetu majuu wanakula happy si la kitoto
 
maisha ni vile unavyoyachukulia...

na kula bata, ng'ombe , mbuzi, ngamia ni vile unavyokuchukulia, kunatofautiana kati ya mtu na mtu.....

na mapenzi ya mahali fulani iwe bongo au ulaya ni vile moyo wako unavyopendezwa....
 
jamani mie nashangaa mnaosema huku nje si kwetu,sehemu umekaaa miaka yote,unaenda church,una marafiki unafanya shughuli zako za kila siku bila kubugudhiwa na mtu....this is more than home to me.
 
Back
Top Bottom