TTWB hawa jamaa wapo kweli

kondwan

Member
Aug 3, 2013
16
0
ndugu zangu wanajamvi imekuwa kama mchezo tanzania hii hawa watu wa ttwb wapo kweli au walitaka tu paspot zetu, mwenye taarifa atujuze hapa
 
Matapeli hayo, niliwauliza ofisi zao zilipo wakaingia mitini, alafu huyo hr chrisant msiga eti anasema usimpigie simu tuma sms tu kuwasiliana simu hadi akuruhusu!! Alafu nimetafuta taarifa za hyu hr and registra manager wao chrisant msiga anajiita hazipo popote, yaaani ndugu zangu hao ni matapeli, mi walinitumia email ya kuwa nimekua shorlisted, jamani hiyo lugha iliyoandikwa humo balaa, barua ndefuuuu kingereza kibovu, spelling mistakes za kumwaga, ndipo nilipogundua ni matapeli kwa kweli. Kwa hiyo muwaangalie kwa jicho la tatu hao watu. Wanachukulia ukosefu wa ajira kwa vijana km chanzo cha utapeli.
 
Swali la kizushi mkuu, "wanapata faida gani"???
 
Wacha kuupotosha umma, kama hujui funguka uwambiwe ukwel, we wakutapel hayo makabrasha wapeleki wap? (Ttwb).na wanajob id na pia wanafanya kazi sambamba na chama cha walimu. Find details kwanza kabla ya kuropoka.
 
Hawa TTWB ni matapeli tu,na wewe Ranyau nahisi ni mmoja wao maana kila kinachoandikwa khs wao unapinga tu,haya tupe details zao sasa...km mtu anaulizia ofisi haambiwi ziko wapi huoni huo ni utapeli?nina ndg,jamaa na marafiki wengi waliomba lakini hakuna kinachoendelea ni ubabaishaji tu,..huyu chrisant huyu,
 
Me naongea baada ya uchunguzi wa kutosha . Na walisema uspopata ujumbe wowote ujue umekosa. Na navyo ongea hivi kunamtu kasha pata offer letter ya sehemu aliopangiwa ameambiwa akomferm kama anakubal, napia kuanzia kesho majbu kamili kwa waliopata wengi watatumiwa. Hiyo ni taarifa rasmi, mi sio mmoja wao, ilanipo karibu .so unavyonipnga na kunikejeli nakushangaa sana , kwani hata zle documents walizotoa hazikuspecify lin kazi ina anza au majibu hasa ni lin? Wao walitoa dead line ya application, na mda uliongezwa baada ya wao kuongeza mkao wa kigoma , ambao haukuwa kwenye list ya ile ya awali,fikirin kwanza kabla ya blaming.
 
Back
Top Bottom