TTCL ISSUE: Bodi ivunjwe, Waziri ajiuzulu, Airtel irudishwe kwetu!

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,597
37
Sitaeleza sababu ila kama unataka fuatilia uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...e-leading-cellular-and-internet-operator.html

1. Waziri ajiuzulu na mawaziri wote waliopita wachunguzwe
2. Wahusika wahujumu TTCL wawajibike
3. Bodi ya TTCL ivunjwe taratibu iundwe Upy kwa taratibu mpya
4. Celtel/Zain/Airtel irudishwe kwa TTCL maana ni mali yetu
Investigative journalists, try to investigate this and put it into action! :A S-alert1:
 
bei ni ile mteja analipa, hata mbuzi akiuzwa shilling 10 ni bei yake, leo mnaaanza kufukua makaburi wakati TTCL ilikuwa na technologia ya simu za waya, technological adaptation amabyo ni kubwa imetoaka Celtel, Celtel ndiyo walianzisha soko la simu za mkononi, siri ya kushindwa kwao ni mkono wa serikali kuwa mkubwa, never on earth unaweza kuendesha biashara na serikali, serikali ni makaunda suti, vitambi, majungu , kadi za CCM etc. Fukueni makaburi mchukue Airtel, Chukueni NBC, chukueni Saruji , Chukue TBL ,chukueni NMB, Chukueni kilombero sugar na ndiyo hapo foleni za vibaba vya unga zitaanza
 
Airtel ikimilikiwa na TTCL inakufa, hakuna kampuni yoyote ambayo imeingiliwa na serikali ikabaki salama, hata TTCL was performing better hadi serikali ilivyoikalia, sasa hivi its a shitty network. Unajua tatizo kubwa la serikali kila decision ina involve chain kubwa ya command, kufanya kitu kimoja kinachukua muda mrefu sana, hata mishahara tu ni shida, documents kibao, kua approved kitu kidogo inabidi kipite kila kona. I'd rather see private companies ambazo haziingiliwi na serikali kiuendeshaji, yenyewe idai kodi tu alafu ikae kimya iache wajiendeshe wenyewe.
 
Back
Top Bottom