Trump: ‘I never said when attack on Syria would take place’

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
US President Donald Trump has taken to Twitter to
clarify that he never specified when the US would
conduct an attack on Syria.
“Never said when an attack on Syria would take place,”
Trump wrote on Thursday. “Could be very soon or not so
soon at all!”
Trump also credited his administration with defeating ISIS
in Syria. “In any event, the United States, under my
Administration, has done a great job of ridding the region
of ISIS. Where is our “Thank you America?” he tweeted

Trump: ‘I never said when attack on Syria would take place’
 
Mdogomdogo Urusi inachukua ukilanja wa dunia, Trump anakuwa kama mpiga ramli.
Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikani ndani ya miaka michache,
Japo katika hili la Syria na Ukraine anaweza kujenga msuli mkubwa sana wa kidiplomasia hapa duniani na pia kuwa na kufanikiwa kuongeza ushawishi wake kwenye eneo la Ulaya Mashariki, Ghuba ya Uajemi na kwengineko duniani.
 
yes tuna chuki na utawala wake ila elewa Trump ni Rais wa Amerika na yupo pale kulinda na kutekeleza masilahi ya wamarekani,ila kinachonishangaza hapa ,mtoa hoja hii ni wapi inaonyesha President Trump ameufyata?
 
Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikano ndani ya miaka michache,
Japo katika hili la Syria na Ukraine anaweza kujenga msuli mkubwa sana wa kidiplomasia hapa duniani na pia kuwa na kufanikiwa kuongeza ushawishi wake kwenye eneo la Ulaya Mashariki, Ghuba ya Uajemi na kwengineko duniani.
Kweli bado sana lakini hizi ni dalili mbaya kwa Marekani kuwa na mtu wa kukupiga waziwazi mwisho ya siku vitaifa vingine vitaanza kujiinua kuwa kumbe inawezekana kumgomea kiranja.
 
Bora angekaa kimya tu,kama ni kuiadhibu Syria afanye kimya kimya kama last year.Ninachoona Trump sidhani kama anajua Pentagon wamefanya assessment na kuamua wafanye strike wakati gani maana kuna taarifa zinzsema Pentagon wanasubiri USS Harry S. Truman Strike group zifike Mediterranean ili ku counter retaliation endapo Russian Navy watashambulia.Na hii inaweza kuchukua hadi siku Tano hadi kufika Mediterranian sea.Meli nyingi za kivita zilizopo Mediterranea ni zile za NATO na haziwezi tumika mpaka nchi husika wakubaliane na US kuhusu kuishambulia Syria.So sikuona sababu ya Trump kukimbilia kuandika Twitter,Maana hata Ukimsikiliza James Matis yuko very calm na anasema bado wanafanya intelligence analysis,hayupo kama mtu anayejitayarisha kupigana vita sasa hivi.
 
Ukiranja wa dunia bado sana na huwa haupatikani ndani ya miaka michache,
Japo katika hili la Syria na Ukraine anaweza kujenga msuli mkubwa sana wa kidiplomasia hapa duniani na pia kuwa na kufanikiwa kuongeza ushawishi wake kwenye eneo la Ulaya Mashariki, Ghuba ya Uajemi na kwengineko duniani.
Mkuu hebu ongezea nyama kidogo hapo kwa Ukraine,: naona kunà ukakasi kidogo.
 
Kuna Russian jews billionaires
Na American jews billionaires
Hapo Trump huwa anafurahisha genge tu
Na hao ndio wana remote ya dunia
Hawataki upumbavu wa Trump wa kuropoka ropoka
 
Where is our " Thank you America" :D :D :D matatizo atengeze yeye kisha na shukran apewe kwa matatizo?
 
Mkuu hebu ongezea nyama kidogo hapo kwa Ukraine,: naona kunà ukakasi kidogo.
Marekani na washirika wake kama watashindwa kupambana na Mrusi kule nchini Syria mbali na mipaka yake,
Unadhani ataweza kupigana na Urusi kwenye mipaka yake ambako kuna vikosi vizito vya majeshi yake yote ???
Maana vikosi vikubwa vya Urusi viko Ulaya Mashariki, Asilimia 21% ya meli vita za Urusi na Asilimia 10% ya nyambizi za jeshi la Urusi ziko pale bahari nyeusi kama The Black Sea Fleet.

NB: Kuna msemo maarufu unasema "Do not mess with the Pope when you are in Rome" ni sawa na leo Urusi naye aende pale Caribbean akitegema anaweza kumshinda Marekani kirahisi. Ngumu sana kupigana na Urusi ukiwa Ulaya Mashariki.
 
Safi sana, umeleeweka mkuu
 
Back
Top Bottom