Trump atashinda uchaguzi 2024

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,010
Hi every one!

Duniani kote kuna watu wanajifanya ma-inspire,, yaani wanasimulia walivyoaswa na kufanikiwa katika maisha.Lakini sijawahi kumsikia mtu akimzungumzia Trump.

Raisi Trump alipotangaza kugombea uraisi kila mtu alimcheka, Obama alimdharau, Clinton alimdharau, Republican establishment kina Bush, Paul Ryan,Romney Macconel wote walimuona underdog, kilichotokea kila mtu anakijua.

Sahivi nafatilia kampeni zake,jamaa ana mikesi mingi sana ila kwenye kampeni zake ni noma. Jamaa anajaza nyomi hatari, nimefatilia kampeni zake kwenye majimbo ya south Calorina, Ohio, Iowa, Arizona, Whayoming jamaa anatisha na hayo majimbo atashinda yote.

Biden ana kibarua kigumu sana, nimatumaini yangu kuwa Biden hatoboi kwa Trump mwakani.

Welcome President Trump.
 
MImi nimekaa na subiri komedi ya bideni tu maana itakuwa ni vituko ...BIDEN NI SAA MBOVU KICHWANI ...DISHI LIMEYUMBA WAKATI WA KAMPENI ITAKUWA NI VITUKO TU SIJUI KAMA AJAVUA NGUO HADHARANI AKIDHANI YUPO BAFUNI
 
Wewe ni raia wa Tanganyika au Marekani ?
Jibu hoja sio mtoa hoja,uraia wake hausaidii chochote kwenye hoja hii, binafsi napenda president Trump ashinde ili tujifunze hard way ya kujitegemea maana president Trump anaongea as its
 
Jamaa yuko straight sema Nato hawampendi
 
Kurudi madarakani yule ni mtihani,Yaonekana aliingia madarakani Kwa msaada wa Urusi.

Urusi ilicheza na mfumo wa kupigia kura.
 
Na Republican nomination aliipata kwa msaada wa urusi?

Trump1700votes

Cruz 400votes
 
Back
Top Bottom