Trump amchagua mkosoaji wake mkubwa katika UN

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,137
48,808
1a5bf2a72e2de2dc651b9b447d0ca825.jpg

Nikki Haley alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni yake.

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani katika Umoja wa Mataifa.
Kwa njia ya taarifa, amesema kwamba, amethibitisha bayana nia yake ya kuwaleta watu pamoja.

Hiyo imekuwa mojawepo ya nafasi ya juu zaidi katika utawala wake mpya, kumuendea mwanamke au mtu asiye mweupe.

Nikki Haley ambaye alimpinga Trump, wakati wa kampeini za kuwania kiti cha Urais ni Mwamerika wa pili mwenye asili ya Ki-ashia, kuchukua wadhfa wa Ugavana nchini Marekani.

BBC
 
Sasa sisi ambao walio kuwa wana kupinga una wazuia hata wasifanye mikutano.

Leo hii magufuli angempa uwaziri mtu kama Bashe siajabu angekuwa ana msaidia ki mawazo, lakini kwa kuwa alimsapot Lowassa hana nafasi kabsa. uongozi ni ku compromise saa nyingine ndio inavo takiwa hivo
 
Wazungu aisee, tunayo safari kuwafikia. Wana fikra nje ya box na ku anticipate ahead. Kwa Afrika tutasubiri sana. Mipasho ya wakati wa kampeni, mtu aliye kupinga zamani bado unamuweka kwenye list ya watu wa kula nao plate moja.
 
on target. Lazima alipe gharama za ukosoaji alioufanya siku kadhaa nyuma.
Atalipaje? swala hilo litabaki siri yaowenyewe trump na huyo mama.
 
1a5bf2a72e2de2dc651b9b447d0ca825.jpg

Nikki Haley alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni yake.

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani katika Umoja wa Mataifa.
Kwa njia ya taarifa, amesema kwamba, amethibitisha bayana nia yake ya kuwaleta watu pamoja.

Hiyo imekuwa mojawepo ya nafasi ya juu zaidi katika utawala wake mpya, kumuendea mwanamke au mtu asiye mweupe.

Nikki Haley ambaye alimpinga Trump, wakati wa kampeini za kuwania kiti cha Urais ni Mwamerika wa pili mwenye asili ya Ki-ashia, kuchukua wadhfa wa Ugavana nchini Marekani.

BBC
Tatizo letu Waafrika. waya zetu kichwani ziko wired tofauti na wazungu.
Mtu akitupinga TUNAMCHUKIA sana na kuwa na KINYONGO naye!
Hii iko kwenye DNA yetu.
Ni wachache sana waliotofauti labda walio na damu mchanganyiko kama Obama.
Vinginevyo ni KISASI tu!
 
Back
Top Bottom