Trip to beijing

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Wakubwa Salama,
Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China.
Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu.

Its my first time getting into Beijing.

Thanks
BB
 
Hueleweki mara tarehe 30 June 2012 mara Tarehe 30 May 2012. Angalia post No.1&3. Be specific
 
Wakubwa Salama,
Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China.
Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu.

Its my first time getting into Beijing.

Thanks
BB

usijali mkuu mi ntakupokea, nshakua mwenyeji maeneo haya.. usisahau kuja na vidola kidogo kwa ajil ya mizunguko
 
Back
Top Bottom