Treni ya TAZARA yapata ajali mbayaaa bandarini-kurasini

Alwayz on top

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
706
264
Treni imegongana na lori la mohammed enterprises..ilikua uzembe wa dereva wa lory kwa kusmama relini wakat malori mengine yamesimama ktk ajal hyo hakuna aliyekufa lkn Driver wa locomotive aliumia mguu,na escortee wa mbolea aliumia mkono wengine waliokuwemo kama shunters,police hawakupata madhara yayote. Source- Nahusika na maeneo hayo
 
Attachments

  • img_0050.jpg
    img_0050.jpg
    10.9 KB · Views: 710
  • img_0042.jpg
    img_0042.jpg
    11.5 KB · Views: 687
  • img_0046.jpg
    img_0046.jpg
    9.7 KB · Views: 663
  • img_0045.jpg
    img_0045.jpg
    11.1 KB · Views: 588
  • img_0041.jpg
    img_0041.jpg
    15.4 KB · Views: 593
Treni imegongana na lori la mohammed enterprises..ilikua uzembe wa dereva wa lory kwa kusmama relini wakat malori mengine yamesimama ktk ajal hyo hakuna aliyekufa lkn Driver wa locomotive aliumia mguu,na escortee wa mbolea aliumia mkono wengine waliokuwemo kama shunters,police hawakupata madhara yayote. Source- Nahusika na maeneo hayo

Madereva wazembe kama hawa wanatakiwa kulipshwa gharama zote kisha kufungwa na kunyang'anywa leseni ahsante kutuja uzembe wa wabongo
 
Duh pole zao, lakini inakuwaje treni inagongana na gari halafu dereva wa treni anaumia mguu, au ndo treni za plastiki za kutoka china???
 
hawo madereva wa malori ni bangi sana, huwa wanakera sana kwani wakati mwingine unakuta wanafunga hiyo Nelson mandela roasd bila sababu, mara wanapaki katikati ya barabara, lakini yote tisa, niliwahi kuambiwa na hao madereva kuwa matajiri wao wanawaambia wasijali, mfano magari ya dhandho kule mbeya, kila RPC anayeripoti mbeya , anaripoti pia kwa dhandho na kuingia kwenye pay roll. wakati fulani lori la dhandho likaparamia wamama waliokuwa wanauza ndizi pale ushirika/tukuyu, wakafa nadhani 11, dhandho akawapelekea wafiwa mchele , sabuni kama ubani kesi ikaisha!!!!
 
Una maanisha ni serikali yetu dhaifu au ndiyo kusema serikali yangu imewekwa mfukoni ?
 
hapo ni kuwa treni imegongwa hata kama hilo Semi-trailer lilikua limesimama
 
Treni imegongana na lori la mohammed enterprises..ilikua uzembe wa dereva wa lory kwa kusmama relini wakat malori mengine yamesimama ktk ajal hyo hakuna aliyekufa lkn Driver wa locomotive aliumia mguu,na escortee wa mbolea aliumia mkono wengine waliokuwemo kama shunters,police hawakupata madhara yayote. Source- Nahusika na maeneo hayo

asante kwa taarifa, but, mbona picha ya kwanza inaonesha gari aina ya SUV na si lori?, hongera kwa kubandika picha za size ndogo.
 
hivi kwani tren za bongo hazina break? mbona yapo yanayotembea barabara moja na magari na husimama kama gari
tena yanayotumia umeme.
iweje haya ya bongo yanayotumia mafuta yasisimame au ndio ile dhana treni haisimami hata kama kama mbele yake kuna hatari.
labda wadau mnijuze zaidi.
 
Hapo scania imekula kwake..haiwezekani hata siku treni kuifuata gari,ni sawa na gari kugonga kondoo.
 
hawo madereva wa malori ni bangi sana, huwa wanakera sana kwani wakati mwingine unakuta wanafunga hiyo Nelson mandela roasd bila sababu, mara wanapaki katikati ya barabara, lakini yote tisa, niliwahi kuambiwa na hao madereva kuwa matajiri wao wanawaambia wasijali, mfano magari ya dhandho kule mbeya, kila RPC anayeripoti mbeya , anaripoti pia kwa dhandho na kuingia kwenye pay roll. wakati fulani lori la dhandho likaparamia wamama waliokuwa wanauza ndizi pale ushirika/tukuyu, wakafa nadhani 11, dhandho akawapelekea wafiwa mchele , sabuni kama ubani kesi ikaisha!!!!

Bosi wa dhandho ni nan?
 
hivi kwani tren za bongo hazina break? mbona yapo yanayotembea barabara moja na magari na husimama kama gari
tena yanayotumia umeme.
iweje haya ya bongo yanayotumia mafuta yasisimame au ndio ile dhana treni haisimami hata kama kama mbele yake kuna hatari.
labda wadau mnijuze zaidi.

breki zake anaanza kufunga ubungo itasimaa kariakoo
 
Back
Top Bottom