Transcripts are not allowed!!

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Habari wadau,
Hivi employer anaposema hataki transcript....ina maana anataka cheti gani cha chuo? au ndo ile leaving certificate? for once nilihisi lile tangazo la kazi la serikali limekosewa...hasa pale kwenye masharti ya kuomba kazi kipengele cha 8! kwa transcript,provisional result etc hazitapokelewa!
 
wanata vyeti halisi vya sekondar mpaka chuo, na si result 3p or transcript or maelezo ya aina yoyote yanayosimama badala ya vyeti.
 
transcrit ni vielelezo ambavyo mara nyingi hutumika kuelezea sifa za mtu kielimu wakati vyeti havijatoka.
 
How about Universities' Transcript,actually they have not specified?Msaada please.
 
wanata vyeti halisi vya sekondar mpaka chuo, na si result 3p or transcript or maelezo ya aina yoyote yanayosimama badala ya vyeti.
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zangu
 
MSAADA:

1. kuna post kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class/grade tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo?

2. Kwa mfano nikaambatanisha vyote (Cheti na Trancript) kutakuwa na tatizo kweli hapo wadau...!?

NAOMBA MNIJUZE TAFADHALI WADAU!!
 
they need only cheti na sio transcripts or result slips or any kind of testimonials whatsoever. just bring us yr vyeti and not otherwise.
 
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zangu

unataka mwanga upi nawewe utak kuelewa THATS WHY KIKAITWA TRANSCRIPT NA KINGNE KIKWAITA CERTIFICATE, THEY NID A CERTIFICATE ELEWA.
 
Dont complicated issues guys,wanataka basically 3 certificates form 4,form 6 na cha chuo incase una cha proffessional bodi ndo unakiongeza,thts ol
 
Sasa sisi wengine chuo chetu bado hakijatoa hivyo vyeti kwa hiyo ndo tumekosa hizo kazi jamani, mi naona wangekubari tu hata statement of results tu au transcript, hivyo vyeti badae vikitoka watavipata2
 
Transcript ndio zinakuwaga more descriptive kuliko vyeti. Provisional results are plainly NOT acceptable by any standards, sasa sijui zaidi maana nchi hii kila kitu chaenda kinyumenyume.
 
Transcript ndio zinakuwaga more descriptive kuliko vyeti. Provisional results are plainly NOT acceptable by any standards, sasa sijui zaidi maana nchi hii kila kitu chaenda kinyumenyume.

tz kinachowezekana hakiwezekani, na visivyowezekana ndivyo vinawezekana...ni katika kutaka kukomoana tu.
 
mkuu vyeti vya chuo vipoje...mi huwa najua hii trancsript yangu ndo cheti koz ndo kina matokeo na mchakato wote wa kiacademia, kile cheti kingine ni cha award tu! nipeni mwanga hapa ndugu zangu

kuna cheti mdau,mfano udsm huwez kukipata hadi upate transcript,na siku ya kufata cheti uende na transcript yako
 
tz kinachowezekana hakiwezekani, na visivyowezekana ndivyo vinawezekana...ni katika kutaka kukomoana tu.

utakuta wazo limetolewa na mtu mmoja tu,,,,,wametoka kwenye experience sasa wapo hapo kwenye vyeti,ila walonavyo wavifate vyuoni mwao bhana
 
Transcript ndio zinakuwaga more descriptive kuliko vyeti. Provisional results are plainly NOT acceptable by any standards, sasa sijui zaidi maana nchi hii kila kitu chaenda kinyumenyume.

ni nchi gani wanaotumia transcript badala ya certificate? Kama huna cheti, subiri tu vitoke. Sio kutoa lawama zisizo na msingi
 
Back
Top Bottom