Trafiki Dar, siku 7 wakusanya mil 465

Polisi wanapiga faini za ajabu sana. Unaendesha gari lako toka Ubungo kwenda Kibaha, ukifika Kibamba unasimamishwa na polisi unaambia maeneo ya Kimara mwisho uliendesha speed kali, ukiomba evidence unaambiwa "kama unabisha twende turud tukakuoneshe picha yako kwenye kamera"- Is this right? Mtu anataka kukuhukumu ulipe faini , lakini evidence hana, anategemea kuku- convict kwa kupigiwa simu?
Bado Traffic Police hawajajipanga vizuri kukamata madereva kwa kutumia Camera,utaratibu wanaoutumia sio mzuri hata kidogo
 
Jamaa ni waonezi sana na wapenda sifa japo siyo wote ila makosa mengine ni ya kumkomoa mtu na toka wasifiwe naona boss wao amewambia kazeni Uzi mpaka watu wapaki magari waache nyumbani wapande mwendokasi
 
Polisi wanapiga faini za ajabu sana. Unaendesha gari lako toka Ubungo kwenda Kibaha, ukifika Kibamba unasimamishwa na polisi unaambia maeneo ya Kimara mwisho uliendesha speed kali, ukiomba evidence unaambiwa "kama unabisha twende turud tukakuoneshe picha yako kwenye kamera"- Is this right? Mtu anataka kukuhukumu ulipe faini , lakini evidence hana, anategemea kuku- convict kwa kupigiwa simu?
Hii si haki hata kidogo
 
20161004_051711.jpg
Wataipiku TRA
 
Ni mhimu kutii sheria bila shurti. Watazikosa mbona maana watu hawatakuwa wehu kutoa toa tu hela kama unauhakika gari lako liko vizuri nawewe uko njema kichwani. Kiufupi tunakoelekea ni kwenye jamii staarabu zaidi.
 
Inamaana watu wengi wanaendesha vyombo vya moto kwa Mazoea.
Na wengi wetu vyuo hatukupita,tumejifunza chochoroni na kuletewa leseni kienyeji bass.
Madereva wengi wazembe hasa Dar,maana ndio mapato makubwa yamepatikana
 
Polisi wanapiga faini za ajabu sana. Unaendesha gari lako toka Ubungo kwenda Kibaha, ukifika Kibamba unasimamishwa na polisi unaambia maeneo ya Kimara mwisho uliendesha speed kali, ukiomba evidence unaambiwa "kama unabisha twende turud tukakuoneshe picha yako kwenye kamera"- Is this right? Mtu anataka kukuhukumu ulipe faini , lakini evidence hana, anategemea kuku- convict kwa kupigiwa simu?

Acha uongo, Askari wetu hawawezi kukusingizia hata siku moja, wewe ndiyo una kosa, siku nyingine fuata sheria za barabarani ili kuepuka usumbufu!
 
tusiangalie makusanyo makubwa tu na kujivunia bali tuangalie hayo makusanyo yametokana na chanzo kipi... inamaanisha uhalifu na ajali nyingi ndio chanzo cha mapato hayo.. Je tuongeze ajali nyingi ili tuvunje rekodi??

hahahaha....
 
HAPO 75% ZA MAKOSA NI KUBAMBIKIWAA TU

OVA
Jamaa ni waonezi sana na wapenda sifa japo siyo wote ila makosa mengine ni ya kumkomoa mtu na toka wasifiwe naona boss wao amewambia kazeni Uzi mpaka watu wapaki magari waache nyumbani wapande mwendokasi
 
[="mrangi, post: 17911808, member: 209781"]HAPO 75% ZA MAKOSA NI KUBAMBIKIWAA TU

OVA[/QUOTE]

Exactly
 
Back
Top Bottom