Trafiki wekeni kamera kwenye mataa barabarani

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
770
Leo nilipokuwa mjini nimeona waendesha vyombo vya moto wakipuuza taa za kuongozea magari.

Nimepata wazo kuwa sasa umefika wakati ziwekwe kamera kwenye makutano ya barabara na maderva wanaofanya makosa ya kupita wakati taa hazijaruhusu watozwe faini.
 
Back
Top Bottom