TRA wagonga hodi kwa Wakulima

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,747
22,901
Ieleweke tu kwamba hakuna jiwe litasimama bila kugeuzwa....

20201216_072143.jpg
 
Mkuu hivi unawafahamu wakulima kweli? Wakulima huuza mazao yao wakati mwingine yakiwa bado shambani. Hao wanaotunza stock ya mazao ni wafanyabiashara au wachuuzi wa mazao. Mfano kule Kahama kuna wafanyabiashara wakubwa wana magodown ya kuhifadhi mpunga hata miaka mitatu wakisubiri bei ipande.

Wakulima wengi hawawezi kuwa na uwezo huo wa kuvumilia bei ipande
Walima mpunga/walimbikizaji wa magunia ya mpunga huku mkisubiri bei jiandaeni
 
Mkuu hivi unawafahamu wakulima kweli?Wakulima huuza mazao yao wakati mwingine yakiwa bado shambani.Hao wanaotunza stock ya mazao ni wafanya biashara au wachuuzi wa mazao.Mfano kule Kahama kuna wafanyabiashara wakubwa wanama godown ya kuhifadhi mpunga hata miaka mitatu wakisubiri bei ipande.

Wakulima wengi hawawezi kuwa na uwezo huo wa kuvumilia bei ipande
Ndio watajua hawajui mzee baba.

Tumesema tutasonga mbereee,lazima tusonge mbereeeee.

Au nasema uongo yanguuuuuuuuuuuuu.?
 
Mkuu hivi unawafahamu wakulima kweli?Wakulima huuza mazao yao wakati mwingine yakiwa bado shambani.Hao wanaotunza stock ya mazao ni wafanya biashara au wachuuzi wa mazao.Mfano kule Kahama kuna wafanyabiashara wakubwa wanama godown ya kuhifadhi mpunga hata miaka mitatu wakisubiri bei ipande.

Wakulima wengi hawawezi kuwa na uwezo huo wa kuvumilia bei ipande
Umenena vyema japo wapo wakulima wa aina nyingi. Huwezi kusema Sumry Ncha Kali aliyelazimika kuachana na biashara ya mabasi akaingia katika kilimo hana uwezo wa kusubiri bei!!!!! Vivyohivyo kwa mtoto wa mkulima mr Kayanza.

Huyo unayeona kalimwa barua ujue TRA wameshafuatilia mwenendo na wanajua anaendeshaje kilimo chake. Tusichokijua ni kwamba huwenda pia wameshanusa mamilioni kwenye account yake.

Kumbuka hao jamaa hawajihangaishi bila kunusa kuwa mahala fulani wanaweza kupata chochote. Ukishasikia kaambiwa miaka mitatu ujue mamilioni yanamhusu.

Kumbuka ya st. Jude school.
 
Back
Top Bottom