comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,228
- 5,950
Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria ya VAT. Kama siko sahihi naomba usaidizi. Kama niko sahihi TRA wanaibia TFF na vilabu