umekunywa kidogo?hueleweki
Halafu ameanzisha uzi na kusepa! tusimlaumu labda bado ana mning'inio wa ziada akiwa fresh huenda akarudi
Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapandaumekunywa kidogo?hueleweki
Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda