TP Mazembe vs Pyramids mechi inaanza saa tisa Lubumbashi, Mamelodi mechi zake na Waarabu ni saa tisa. Kwanini Yanga iwe saa 1?

Sidhani ndio nn kitu cha muhimu ni kupata ushindi hizo goli nne unazosema wewe zitapatikana kulingana na mazingira ya mchezo yatakavyokuwa ila muhimu ni ushindi point tatu huwezi jua ya mbele bado kundi lipowazi yeyote atapita
Hata Yanga ishinde hakuna itakapornda maana CR atashinda mechi ya Mwisho na Madeama Sasa mtaenda wapi? Mtapata hata sare na Al Ahly nyie? Mnao huo uwezo?
 
Jamaaa una lazimisha kila kitu wanachofanya Team zingine na Yanga iige haya Maisha mnayo sana Waafrika kuigana.

Hivi Mi nawaza we ukiulizwa kwanini umeoa huyo Mke wako mwenye MADAKO madogo ukaambiwa Ni Mjinga utasema Nini?

Usipende kuiga kila kitu...Yanga Kwenye Caf confederation msimu uliopita kacheza Match zake karibia Nyingi saa 1 ila Mbona kafika Hadi Fainali?

Simba Ndi9 Team inayoongoza kucheza saa 10 lakini Caf conderetaion iliisha Robo na miaka Nenda rudi kwenye Caf C League inaishia Robo.

So unakuja kuelewa hayo Maswala ya Joto ni yako na Akili zako...Utapigwa tu hata kwenye Barafu kama Team yako mbovu
 
Huna Akili... kwamba huelewi kinachoendelea DRC? Mechi gani kwa kipindi hiki umeona zikichezwa saa 1 za usiku? wanafanya hivyo kwa usalama zaidi sio kwamba wanajipangia tu
 
wabongo bwana,kwaiyo ukiileta real Madrid mfano acheze na Simba game SAA Saba mchana ,Simba atashinda sababu ya jua SI ndio,acha ukibwengo
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Mwarabu ataogopaje jua na wakati kwake jua ni kali kuliko huku kusini mwa Sahara?
 
Hapa nafkiri kilichofanya mpaka mechi ikubaliwe ni hali ya hewa ya mji husika, kwa maana Lubumbashi ina elevation ya 1200 mita kutoka usawa wa bahari.

ambapo Dar ina elevation ya 50 mita kutoka usawa wa bahari.
Yaani mji hupo juu kwa 1150 kutoka usawa wa bahari.kadri eneo linapokuwa juu kwa mita 100,joto hupungua kwa 0.6
So hapo joto kwao linapungua kwa ((1150÷100)×0.6C⁰) = 7.4⁰C
Wakati huku saa 9 mchana joto ni 32⁰C,Kule saa 9 mchana joto ni 25⁰C.

So CAF huwa hawakubali kizembe,kwani mpira lazima uchezeshwe katika hali ya hewa rafiki.

Nenda hata Mbeya uone kama saa mchana yake ni ya kutesa kama Dar.
Wakati Mello anaanzisha JF lengo lilikuwa kuona michango yenye weledi kama hivi.
Lkn sasa JF imekuwa kijiwe cha kahawa na kununua Utamu.
 
Mwishowe utake Mechi ichezwe saa nane kwenye dimbwi la maji, ushindi nje nje.
 
Watakubishia lakini huo ndio ukweli. Makosa tunayofanya timu za Tanzania ni kuwapangia waarabu mechi za usiku hali ya hewa imetulia.

Mechi za mchana nyingi wanapoteza hao waarabu
 
Ayo mambo ya kucheza juani ni ya kijima, Kwasasa Yanga wametengeneza timu ya all wether.
Twendeni tukacheze mpira na kushinda bila mbinu chafu, za kipuuzi na za kutu dhalilisha, Timu ya kushinda ipo Sasa kwanini tuhangaike na mambo ya ki kuda!!
 
Kwake kuna jua ila mechi zao hazichezwagi kwenye jua.
Mkuu ngoja nikwambie, kwenye suala la mazingira rafiki kwenye ni muhimu sana, kwani hufanya wachezaji Waweze kufurahia mchezo husika.
Kwa mfano:Nchi kama Nepal,Bhutan na Tajikistan ni ngumu kwa wachezaji wa nchi za Afrika Mashariki kushiriki michezo kwani zipo zaidi ya mita 3800 kutoka usawa wa bahari ,so itakuwa ngumu kwa wachezaji wetu kupumua...
Hizi mechi zao nyingi huchezeka kwenye nchi jirani ambazo zipo chini.

Na hapo hata watu mnavyolalamika Waarabu mechi kuchezeka usiku na baridi,kwani kwa nchi yetu mikoa yenye joto kama la Dar haizidi 10.
 
Back
Top Bottom