Tp Mazembe vs Lion

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Jamani hiyo mechi haijaanza tu? ama sio leo? maana naona kimya hatupati updates ya mechi
please nijuzeni wakuu kuhusu hiyo mechi kama ipo
 
Mechi inaanza 9.30 muda bado saa hizi saa 8.40 mpira gani saa 8 mchana??haya sio maigizo ya ze comedy wewe....
 
Mechi inaanza 9.30 muda bado saa hizi saa 8.40 mpira gani saa 8 mchana??haya sio maigizo ya ze comedy wewe....
punguza hasira hujui wapi nilipo,ndio maana nimeuliza kama ningekuwa najuwa nisingeuliza,kwani hakuna mechi zinazo chezwa mda huo uliotaja? ama hujui mambo ya mpira yalivyo,hata saa mbili asubuhu ama usiku mechi huchezwa,
 
Back
Top Bottom