TOYOTA Vtz inauzwa.

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
Nauza TOYOTA Vtz ,rangi ya kijani yenye namba T 364 BFD. Nimeiokota imeletwa na maji ya maafriko.Haina kadi ya gari wala nn! bei maelewano. aliyekua tayari kuinunua aniPM.
 
Hahahah, mkuu umenivunja mbavu haki ya mungu, sasa kaka funguo umezipata wapi? Kama unataka kumsaidia mwenyewe nenda TRA na registration no hiyo watakwambia nani mwenye gari. Litunze na tangaza sehemu mbali mbali utapata tu ufumbuzi.
 
Cha kuokota si chakuiba, ndio ishakua yangu hivyo naichongeshea funguo hlf naiuza bei y nokia mchina.
 
Nauza TOYOTA Vtz ,rangi ya kijani yenye namba T 364 BFD. Nimeiokota imeletwa na maji ya maafriko.Haina kadi ya gani wala nn! bei maelewano. aliyekua tayari kuinunua aniPM.

Mkubwa! Rangi ya mafisadi ndiyo itainyima bei! Lakini labda Rejao,ritz,thatha,mzee na wale mabest wake kwani kuna atakaye jitokeza maana kuna tetesi ya kwmb wamekunywa maji ya bendera!
 
Mkubwa! Rangi ya mafisadi ndiyo itainyima bei! Lakini labda Rejao,ritz,thatha,mzee na wale mabest wake kwani kuna atakaye jitokeza maana kuna tetesi ya kwmb wamekunywa maji ya bendera!

Hah! rangi ya magamba!! ngoja nifanye mpango niichome moto ......hao nikiwatajia wainunue kw bei y V8 mbana watanunua kisa ina rangi y ufisadi.
 
Mkubwa! Rangi ya mafisadi ndiyo itainyima bei! Lakini labda Rejao,ritz,thatha,mzee na wale mabest wake kwani kuna atakaye jitokeza maana kuna tetesi ya kwmb wamekunywa maji ya bendera!
Huyu jamaa anatafuta tu njia ya kuadvataizi pleti namba za gari lake!! Vitz ya kijani umeionea wapi? Magari yote ya Kijani hapa TZ ni ya level ya juu...nafikiri reason unaijua!!!
 
Lol! Nilifungua uzi ili nikuulize hiyo gari inajua kuogelea? Naondoka mabega chini kama Tom ze cat!
 
Nimecheka sana. Hata hivyo modz waipeleke hii habari pale Jukwaa la Jokes
 
Nimecheka sana. Hata hivyo modz waipeleke hii habari pale Jukwaa la Jokes

Siyo utani mkubwa, ni kweli naiuza sema hii rangi ya NUX ndio imenikosesha wateja, hakuna ht aliyeiulizia!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom