Toyota Rav 4 Inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Ina milango mitano, automatic. model ya mwaka 2000, imetembea km 74520, 1760cc,petrol injini, imeingia Tanzania 27/01/2009 ina rangi ya dhahabu, ina DVD MP 3 TV Screen yenye thamani ya USD 1500. Ina comprehensive insuarance yanye thamani ya tshs 1.2mil itakayokwisha 21/1/2010. Bei Tshs 21,000mil. Ikiwa unahitaji tuwasiliane kupitia hii nambari 0717 114 409 au kama unafuhamu mtu, jamaa,ndugu au rafifiki anahitaji gari kama hii nifahamishe utapata kamisheni nono.
 
Last edited:
Mkubwa nafikiri umekosea kutype katika bei hapo, the way ilivyo inamaana gari inauzwa kwa TZS. bilioni 21.

Lakini kama bei ndo hiyo, inabidi tuwatafute kina RA et al ndo wanaoweza kununua!!
 
Back
Top Bottom