Toyota Premio,nzuri inauzwa

Uncle,

Me nahitaji hiyo Premio. Ntakukupiga kwenye simu.

Ingekuwa vyema kama ungeweka na picha hapa.
 
Ku-upload picha mkubwa na mambo ya mtandao mbona havihusiani,mie nadhani nia aina ya simu unayotumia ndio haina hiyo facility,tafuta hata mshikaji mwenye simu inayoweza kufanya hiyo kitu ili tuone hiyo gari kwa mbali kabla ya kuliona physically!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom