hilo limekwisha tumika na unywaji mafuta umeanza kukimbiza sasa sema mie nikupe 6.5M cash au unasemaje dalali?attach picha nikivutiwa naweza kuchukua kwa kuongeza zaidi..
mkuu can u be humble kidogo? Kwisha tumika manake ndo nini maana kama ni ya 2002 definately imetumika kwanza huko japani ndo ikaingia hapa
unaweza kunegotiate price bila kuweka 'vijembe' visivyo na tija wala sababu..heshimu biashara ya mwenzako.
mkuu Gari ni yangu na haijatumika imeingia hapa mwaka jana mwezi wa sita ni kama ndio imeagizwa jana. Picha najaribu kuattach hapa nashndwa ila unaweza piga simu tufanye biashara mi sio dalal nataka nibadilishe garihilo limekwisha tumika na unywaji mafuta umeanza kukimbiza sasa sema mie nikupe 6.5M cash au unasemaje dalali?attach picha nikivutiwa naweza kuchukua kwa kuongeza zaidi..
NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
Mkuu,
Hujasema kama kuna punguzo. Jamaa wa Nextage cars pale Haidery Plaza wanauza GX 100 ya 2001, CIF Dar kwa dola 3100, mtu anaweza kukimbilia huko akiona bei yako. Punguzo lipo?
unajua tena vijana wakipata vijisent mapema!!
mkuu heshimba mbele, hivi kwa CIF ya dola 3100 pesa zetu za madafu itakuwa ngapi hadi itembee barabarani?
mkuu heshimba mbele, hivi kwa CIF ya dola 3100 pesa zetu za madafu itakuwa ngapi hadi itembee barabarani?
NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
weka picha
Nilivyoongea na jamaa hao wa Nextegae cars, wamesema kwamba kodi zote hadi gari itoke bandarini huwa ni 75% ya CIF, kwa maana ya kwamba, katika hiyo dola 3100 unaongeza dola 2325 ambayo ni 75% ya CIF unapewa gari. Jumla ya CIF na kodi inakuwa dola 5425. Hapo wewe unaweka bima na kibao cha namba tu, ambavyo vyote viwili huenda visizidi 500,000/- Kwa hiyo unaweza kumiliki gari ya aina hiyo kwa milioni 8 tu.

mkuu kwa gari ya 2001 kuna uchakavu. Kwa gari ya 2001 kama gx 1000,ya usd 3100cif, cc above 1500 as par Tra ni izi: import duty-tsh. 1,162,500 plus excise duty-1,698,750 plus VAT(18%)-1,150,875 jumla= 4,012,125 jumlisha Cif=4,650,000,weka plate no.35,000 weka reg.fee kama lak3,GRAND TOTAL=8,697,125/= Ongeza reg.fee lak3 ivi=8,997,125/=. Nadhani hapa tupo wote. Hii ni computation za Tz kwa rate ya 1$ to 1500/=. Mwenye swali tafadhali litunze mpaka nimalize kujenga taifa nisije fuja muda wa kazi.