toyota gx 100 inauzwa...... picha zipo

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
toyota gx 100 inauzwa sh million 9 tu. tuwasiliane 0716-369299

Na suzuki swift kwa sh 7.5 million.................
tuwasiliane mapem kwa aneye itaka. pia kuna magari mengine yanauzwa

suzuki swift kwa 7.5 million

suzuki swift.jpg

gx 100 kwa 9 illion tu

sam_0124.jpg

pia kuna gx 100 mpya kabisa kwa 12 million

2001 gx 100.jpg
2000 gx 100 2.jpg
 
Mkuu sijapendezwa na wewe kufanyia udalali gari yangu.... Ningekuwa nataka dalali ningesema au ningepeleka kwa madalali.

Ulinnipigia simu na number hii hii ukaniuliza kama ipo na bei sasa naona umekuja kuiweka hapa na umeweka cha juu 1m, kumbuka hizi picha ni mimi nimeweka hapa jamii na bei yangu ni 11m sasa wewe umepata wapi kibali cha kufanyia udalali gari yangu

gx 100 cresta t 413 caa ni mali yangu please naomba utoe hii mali yangu kwenye tangazo lako.

Asante.

toyota gx 100 inauzwa sh million 9 tu. Tuwasiliane 0716-369299

na suzuki swift kwa sh 7.5 million.................
Tuwasiliane mapem kwa aneye itaka. Pia kuna magari mengine yanauzwa

suzuki swift kwa 7.5 million

View attachment 56370

gx 100 kwa 9 illion tu

View attachment 56369

pia kuna gx 100 mpya kabisa kwa 12 million

View attachment 56371
View attachment 56372
 
Sijui nimwamini nani kati ya dalali na mwenye mali. Mmoja wapo lazima atakuwa tapeli. Ngastuka!
 
Mkuu sijapendezwa na wewe kufanyia udalali gari yangu.... Ningekuwa nataka dalali ningesema au ningepeleka kwa madalali.

Ulinnipigia simu na number hii hii ukaniuliza kama ipo na bei sasa naona umekuja kuiweka hapa na umeweka cha juu 1m, kumbuka hizi picha ni mimi nimeweka hapa jamii na bei yangu ni 11m sasa wewe umepata wapi kibali cha kufanyia udalali gari yangu

gx 100 cresta t 413 caa ni mali yangu please naomba utoe hii mali yangu kwenye tangazo lako.

Asante.

Dah! watu wana roho ngumu, alijua dili aje kutangaza JF kumbe mwenye mali ni mkongwe wa JF!..askuharibie jina jirani!
 
Angalau mngeweka specs... mwaka gani, mileage, engine size, wheels (4x2, 4x4), vin number, condition yake kama kuna leaks, noticeable dents etc...
 
Mkuu noma sana yani watu wanafanya mambo kienyeji sana, huwezi kuchukua Mali ya mtu na kuitangaza inauzwa bila kibali. huu ni sawa na wizi.

Dah! watu wana roho ngumu, alijua dili aje kutangaza JF kumbe mwenye mali ni mkongwe wa JF!..askuharibie jina jirani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom