Toyota Altezza inauzwa!!! (iko njiani from Japan)

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Wadau,

Natarajia kuingiza Toyota Altezza hapo tarehe 13th October 2012 kutoka Japan.
Gari hii naiuza ikiwa njiani kwakua nimepokea gari zingine hapa karibuni hivyo sina pa kuiweka.

Mwenye kuinunua kama akiwahi kabla ya hii tarehe basi gari itatoka kwa jina lake kabisa kama tayari anayo TIN-Number.

Details Muhimu;
YOM; 2002
Mileage; 60,000Kms
CC; 2000
Color; Silver
Bei; 13Mil (including all Duties)
Steering: Right
Transmission: Automatic
Fuel: Gasoline/Petrol
Number of Doors; 4
Contacts; 0716 474 435

View attachment 67524
View attachment 67525

View attachment 67526

Wadau, sina picha nyingi sana, maana gari yenyewe haijanunuliwa kupitia website, bali imechaguliwa kule kule!!
 
Ina Engine gani ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kaka,
Masuala ya Engine sio mtaalamu sana, na ukweli sikufuatilia.

Labda unisaidie aina mbalimbali za Engine zinazotumika kwenye haya magari ili niulizie hii ipo kwenye kundi lipi.
 
Mkuu, 5 doors ya wapi? Kama unahesabu na buti, basi weka 6 doors ili tukamilishe na boneti
 
KK3,
Sijaua kama uko A-Town au Kigamboni kaka, ningekutafuta mkuu wangu.

By the way, kwako si kuna ile kitu ya GX110, zitakaa mbili?

Gx110 inafika tar 13 mwezi huu,kwa sasa nipo Arusha tar12 natua bongo,gari mbili zinakaa tu safi.
 
jama kha hebu mmoja ajitokeze mpeni ushirikiano sio mnacoment tuu nunueni bwana
 
NAPIATA TU ILA IKJA HIYO 5DOORS ALTEZZA NTAIENDA KUICHEKI LOL
Kwa aina hii ya gari, Buti na Boneti havihesabiki katika milango ya gari maana havikuwezeshi kuingia ndani ya gari.
But kwa gari zingine kama Hatchback-Type nyingi tu Buti nalo ni mlango maana unaweza kupitia uwani vilevile ukatokea sebuleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom