Toshiba External Hard Disk GB 500 inauzwa

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500

Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote

Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo

Nipo Mbezi Stand ya Magufuli

TAYARI IMESHAUZWA
 

Attachments

  • 1667977041144657577565617981588.jpg
    1667977041144657577565617981588.jpg
    736.1 KB · Views: 9
Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000, imetumika mwezi mmoja na nusu tu hivyo bado ni mpya kabisa

Ukiinunua ni kama tu umenunua dukani mana bado ni mpya

Bei ni Tshs 85,000

Napatikana Mbezi jirani kabisa na stand ya mabasi ya Magufuli Terminal

Mawasaliano: 0719742225
 

Attachments

  • IMG_20231018_090105_693.jpg
    IMG_20231018_090105_693.jpg
    669.9 KB · Views: 3
Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500

Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote

Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo

Nipo Mbezi Stand ya Magufuli

TAYARI IMESHAUZWA

Mi yangu nauza elf 40
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom