Topic za kugeneralize na kudhalilisha wanawake

Tracy,
Pole na poleni...kwa bahati mbaya wanaume wengi tunaendeleza tabia mbovu ya wanaume wa kiafrika "halisi". Mwanamke kuonekana ni tambara bovu, zulia.
Lakini jamii zinabadilika, usichoke kuelimisha. Hata kama itachukua muda, watu watabadilika.

Lakini pia kuna msemo unaoendana na uhuru wa mawazo na kusema mtu akitakacho...unasema hivi...ukifungua mlango, sio hewa nzuri tu pekee iingiayo, bali pia mbu na nzi.

kwa hiyo wengine hawapimi kuwa wamezaliwa na mwanamke au ana mke,dada au binti. wanafyatua tu.
thread yeyote ikiandikwa vizuri, kwa mpangilio wa maneno ya staha na hoja basi kila mtu atajisikia kuchangia bila kuhisi kudhalilishwa.
 
Ni kweli dada mawazo yako ni mazuri ila ukiandika maoni yako tumia lugha moja ili tusiojua kiingereza tuweze kukuelewa....Swangilish sisi walizaliwa tandale kwa mtogole kinatupiga chenga...ASANTE
 
Nyi wenyewe ndo mko mstari wa mbele kuendeleza hizo mada! Acheni kuzichangia muone kama hazitadoda. Lakini kila ziwekwapo hapa lazima mshiriki kikamilifu kuzichangia. Sasa hamuoni kama na nyinyi mnaendeleza na kuendekeza huo udhalilishaji?

Jitazameni kwanza kabla hamjarusha lawama...
 
Zinakuwa hazijamlenga mtu specifical ila ukiona kama kilichosemwa kina kugusa, ukubali ukweli na pa kujirekebisha jirekebishe, pa kuignore ignore.
Wakati mwingine ukweli ni mchungu, sema hauna budi kusemwa.
Hata sisi tungependa kujua nyie mnatufikiria vipi sisi ili kusudi itusaidie tunapokuwa na nyie.

apana ..mtoa mada hajasema km znamgusa wala nini...pbm ni kudhalilisha.kumfanya mwanamke aonekane mbaya....
ptia post nying utaona ivyo ama sivyo akili yako utakuwa umeifunga kutooona ktu....
mnaboa ten sana...KUNA NYNGNE ZA KUELIMISHA,KUONYA LAKIN MAJORITY NI ZILE ZA KUDHALILISHA....kuwen na adbu kdg jaman
 
Tracy,
Pole na poleni...kwa bahati mbaya wanaume wengi tunaendeleza tabia mbovu ya wanaume wa kiafrika "halisi". Mwanamke kuonekana ni tambara bovu, zulia.
Lakini jamii zinabadilika, usichoke kuelimisha. Hata kama itachukua muda, watu watabadilika.

Lakini pia kuna msemo unaoendana na uhuru wa mawazo na kusema mtu akitakacho...unasema hivi...ukifungua mlango, sio hewa nzuri tu pekee iingiayo, bali pia mbu na nzi.

kwa hiyo wengine hawapimi kuwa wamezaliwa na mwanamke au ana mke,dada au binti. wanafyatua tu.
thread yeyote ikiandikwa vizuri, kwa mpangilio wa maneno ya staha na hoja basi kila mtu atajisikia kuchangia bila kuhisi kudhalilishwa.

asante
 
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka NTAMPATAJE BA MKWE WANGU??? Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes

This is what i call generalization,akifanya kitu usiseme wote kaka!
 
yan tracy awa bnadamu uwa wanaboa sana na matusi yao..
si poa ata kdg....sjui wanakuwa wanafkiria nini..yaan akipigwa kibut uko basi kesho anakuja na thread yake yenye mapembe makubwa lakin theme ni katika kumdhalilisha mwanamke....
sjui wana matatizo awa bnadamu..
 
Nyi wenyewe ndo mko mstari wa mbele kuendeleza hizo mada! Acheni kuzichangia muone kama hazitadoda. Lakini kila ziwekwapo hapa lazima mshiriki kikamilifu kuzichangia. Sasa hamuoni kama na nyinyi mnaendeleza na kuendekeza huo udhalilishaji?

Jitazameni kwanza kabla hamjarusha lawama...
kaka,.katika kuchangia,je anasema akikipenda hicho kitu au?maana kuchangia sio tatizo..
 
yani tracy awa bnadamu uwa wanaboa sana na matusi yao..
si poa ata kdg....sjui wanakuwa wanafkiria nini..yaan akipigwa kibut uko basi kesho anakuja na thread yake yenye mapembe makubwa lakin theme ni katika kumdhalilisha mwanamke....
sjui wana matatizo awa bnadamu..

Hv wanawake ni watakatifu sana? Mbona wanatupigaga na madongo sana na kutudhalilisha na tupo poa tu.
Na wewe rose unasema hivyo?
 
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka NTAMPATAJE BA MKWE WANGU??? Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes

kaka usione mtu kajiiita maria basi ukajua ni mkike ...wengine ni wanaume.
uyo mwanamtama ni mkike kweli?
 
Hv wanawake ni watakatifu sana? Mbona wanatupigaga na madongo sana na kutudhalilisha na tupo poa tu.
Na wewe rose unasema hivyo?

nasema sana tu .tena nipo mstar wa mbele kupinga dharau izi.
umechokozwa na mwajuma basi kamchambe mwajuma wako na sai kuja apa jf na kuwachamba wanawake wooooooooooote dunian
 
Tracy,
Pole na poleni...kwa bahati mbaya wanaume wengi tunaendeleza tabia mbovu ya wanaume wa kiafrika "halisi". Mwanamke kuonekana ni tambara bovu, zulia.
Lakini jamii zinabadilika, usichoke kuelimisha. Hata kama itachukua muda, watu watabadilika.

Lakini pia kuna msemo unaoendana na uhuru wa mawazo na kusema mtu akitakacho...unasema hivi...ukifungua mlango, sio hewa nzuri tu pekee iingiayo, bali pia mbu na nzi.

kwa hiyo wengine hawapimi kuwa wamezaliwa na mwanamke au ana mke,dada au binti. wanafyatua tu.
thread yeyote ikiandikwa vizuri, kwa mpangilio wa maneno ya staha na hoja basi kila mtu atajisikia kuchangia bila kuhisi kudhalilishwa.

Yani i better give you a:grouphug: bkoz all i meant ni mtu kua na hekima katika kutoa thread yake na kuacha kugeneralize maana unaeza kujikuta unamtukana ur mum bila kupenda!
 
kaka,.katika kuchangia,je anasema akikipenda hicho kitu au?maana kuchangia sio tatizo..

Kuchangia mada uonayo ni ya kudhalilisha ni kuipa baraka. Tatizo linakuja kwenye ladha. Uonacho wewe ni cha kumdhalilisha mwanamke, mwanamke mwingine anaweza asione hivyo. Ndo ugumu wa jambo zima unapokuja. Maadili yanatofautiana baina ya mtu na mtu.
 
yan tracy awa bnadamu uwa wanaboa sana na matusi yao..
si poa ata kdg....sjui wanakuwa wanafkiria nini..yaan akipigwa kibut uko basi kesho anakuja na thread yake yenye mapembe makubwa lakin theme ni katika kumdhalilisha mwanamke....
sjui wana matatizo awa bnadamu..
Asante Rose mi kinanikera kweli and some cross the limits za ethics kabysa!
 
Back
Top Bottom