Topic za Bifu Zinatupotezea Muda

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Habari ya asbh wana JF. Binafsi naona thread za Bifu zinatupotezea muda sana. Unajua watu wengine hatuna interest za TID wala Hashim na U super star wao its none of our business, sasa watu wanapokuwa wanang'ang'ania thread inakaa muda mrefu sielewi. Kwa nini Msi-contribute in the first day or two or even third day? sasa tunasahau unakuta tena vinaanza. Kama ni kusikia wamesikia kurudia rudia hakusaidii. Sometimes kabla ya ku reply angalia wengine walisema nini nyuma utakuta walishaongea wewe unarudia tu.
Twende mbele na topic zingine.
Ni ushauri wangu binafsi.
 
Eheeee mkuu mbona watujia kihivyo asubuhi??? Hiyo yaitwa freedom of speech and expression kama wewe hupendi kusoma au kuchangia hujalazimishwa mkuu. Acha watu wachangie kadri wanavyoona kwa upeo wao. Kuna watu wanawazimikia hao watu unaowasema na hii ndo nafasi yao ya kusema what they feel or think. Wewe potezea tu kama huioni au sio...................
 
Watu tulishaanza kusahau hayo mambo naona wewe ndiye unayekumbushia.

Your post is contradicting the main point you are making.
 
Uhuru wa kuongea.Kama huipendi si uipotezee? mada zipo nyingi humu za kujadili.huwezi mlazimisha mtu ajadili kitu asichokitaka na mbaya zaidi asichokijua.
Mie hata sijawahi ingua hiyo thread ya kina hashim lakini haiwezi nikera kwa vilewengine wanaijadili.
 
Mkuu Yohana wa pili.
Majukwaa humu JF ni mengi na thread ni za kumwaga.
Binafsi kama topic hainivutii wala sina haja ya kuisoma wala kuchangia. nahamia kwenye thread nyingine ikiwezekana nashift kwenye jukwaa lingine kabisa.
Nakushauri na wewe ufanye kama ninavyofanya mimi.
 
Ndibalema, Charity , Kiranga na JS nawatumieni Chai ya maziwa; anayetumia kahawa anieleze mapema!
 
Habari ya asbh wana JF. Binafsi naona thread za Bifu zinatupotezea muda sana. Unajua watu wengine hatuna interest za TID wala Hashim na U super star wao its none of our business, sasa watu wanapokuwa wanang'ang'ania thread inakaa muda mrefu sielewi. Kwa nini Msi-contribute in the first day or two or even third day? sasa tunasahau unakuta tena vinaanza. Kama ni kusikia wamesikia kurudia rudia hakusaidii. Sometimes kabla ya ku reply angalia wengine walisema nini nyuma utakuta walishaongea wewe unarudia tu.
Twende mbele na topic zingine.
Ni ushauri wangu binafsi.

:angry:........................................:rofl:.................................................:painkiller:..............................
A%20S%20clock.gif
 
Back
Top Bottom