Top ten wonderful names from Tanzania

[h=5]Top ten wonderful names from Tanzania

1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO- Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA - Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE- Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE- Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI- Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE - Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)

[/h]
 
11 Ntashimikilo Nyangata, muhitimu wa Ifunda Technical Sec School mwaka 1989
 
Amani Jidulamabambasi Nzugile [R.I.P]

Ng'wizukulu Jilala Ng'wizukulu [R.I.P]

Andendekisye Mwakasakafyuka

Mkatakona Peleka - Huyu jamaa alikuwa anasoma Ilboru

Kipanya Malapa

Nshimba Ng'wanang'wallu Masunga Mayaya

Shisalyandumi Paradiso

Palamagamba Kabudi

Lutanigwa Lutasagwa

Madata Lubigisa Madata

Maduhu Iteghete Madoba
 
Mkarukwa Mkagongwa, nilisoma naye Edmund Rice High School, katikati ya miaka ya 2000
 
Back
Top Bottom