FDR,
Sidhani kuna ku fight ndani ya usalama wa taifa maana hata huyo Othman na
Apson ni kama mtu na babake. Kuingia kwa Othman hapo kulikuwa na baraka zote za Apson.
Shida ni kwamba walizoea kuiba, wakafanya kawaida, wakaiba mpaka vitu vikatapakaa kila sehemu na hivyo kushutukiwa.
Othman ana kazi kubwa sana ya kurudishi heshima ya usalama wa taifa. Vinginevyo itakuwa ngumu hata kuambiwa habari za maana maana utareport wizi kwa mwizi?