Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

Ktk makosa makubwa uliyowahi kufanya mkuu ni kutoa siri kwa adui( siri ya kipato kwa ndugu mwafrika) yaani kipato chako kitageuka fimbo ya kukupigia, nliwah kusahau ka risiti ka ATM kwenye siti ya abiria kwenye gar yangu alaf balance kama m. 8 hivi wakat baby nlishamwambia sina pesa aisee alipokiona hakuniambia ila akawa tukipiga story nikisema sina mawe utasikia zile m. 8 zimeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mil 8 ndio fimbo da ,yaan anahisi ni ya kutumia tu , hela ni hesabu ,usione mtu ana balance mil 8 sijui 100 ukahisi anahela .....hesabu kali........bila hivo kutoboa itakuwa story.........hela haitakutosha kamwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom