mbalu
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 550
- 242
Tutaendelea kusindikiza na kusafisha nyota ya EA...!!!At least Kenya Airways inatuwakilisha East Africa ni ya 85
Tutaendelea kusindikiza na kusafisha nyota ya EA...!!!At least Kenya Airways inatuwakilisha East Africa ni ya 85
Kwa Africa nakubali kwamba South African Airways iko juu. Na kwa kweli kwa ukanda huu hana mpinzani.Duhh,kumbe hata Ethiopia Airlines hawamo na Kenya Airways hawamo.South Africa Airlines hawamo pia
Poa tu
Waarabu watakimbiza sana tu,maana pesa za mafuta hazina kazi,wao ni madege ya kufa mtu
Wasiboona Unjani!SA wapo vizuri sana,ila vitu ndani bei sanaKwa Africa nakubali kwamba South African Airways iko juu. Na kwa kweli kwa ukanda huu hana mpinzani.
hahaa mie great paster mkuu..samahan lakn, mwendo kasi mkuubongo-live upo sawia kweli? umecopy-paste data bila hata ku-edit nawe unajiita GREAT THINKER kweli?
Hata wange taja top 500 atc usinge waona hapo1. Emirates
2. Qatar Airways
3. Singapore Airlines
4. Cathay Pacific
5. ANA All Nippon Airways
6. Etihad Airways
7. Turkish Airlines
8. EVA Air
9. Qantas Airways
10. Lufthansa
....ATC
SOURCE: WORLD AIRLINE AWARDS | the Passengers Choice Awards
Bado hujapanda BAW ndio uajifanya mgonjwa kabisaNimetoka huko nduki nikidhani ATC wameingia TOP TEN kumbe ni dhana mgando tu. ila Dude la EMIRATES ukipanda utatamani usishuke.
Wenzetu kenya siasa mbali na biashara mbali ndio maana wanatuga baoAt least Kenya Airways inatuwakilisha East Africa ni ya 85
Teeeeeeh teeeeehNitakayoianzisha itaingia top 10 miaka 10 toka kuanzishwa.
Cc:LizaboniATC wamejitahidi hata hivyo....haya tusimame kwa dakika moja tuwapigie makofi (kwa...kwa...kwa...)