Tone Radio Tz Online Radio ya Tanzania ambayo haitumii Frequency sasa ipo On Air Live

Toneradio

Member
Jul 11, 2011
65
5
Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo tutakapo watangazia Rasmi tumeanza vipindi, Lakini hata Hivyo kwa sasa vipindi vimeanza na watangazaji makini kabisa Taarifa zaidi ya vipindi mtapata kwa tovuti yetu.. Karibuni sana pia ukipata habari hii mpe taarifa na mwengine

KUSIKILIZA LIVE BOFYA HAPA CHINI

WWW.TONERADIOTZ.COM TONE RADIO-TZ


Tone Shows
View attachment 46170
 
Back
Top Bottom