Toka usaili hadi kutangazwa kazi ni mda gani?

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Baada ya kupata ufafanuzi mzuri wa maswali yangu ya mwanzo naomba kuuliza swali lifuatalo kama

Hivi huchukua mda gani katika sekretariti ya ajira toka usaili hadi kutangazwa matokeo ya usaili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom