Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Hao traffic wanasimamiwa na nani ? Wanafuatiliwa na nani kwenye majukumu yao .
Bila shaka umemuuliza mleta uzi?Hao traffic wanasimamiwa na nani ? Wanafuatiliwa na nani kwenye majukumu yao .
Bila shaka umemuuliza mleta uzi?
Pumbavu kweli.Amekuuliza wewe mkuu, Rais anavyombo vingi mtandao mkubwa, kuliko hata huyo anayeongoza..Hii KERO barabarani raia wanainyamazia tu
Pumbavu kweli.
Mnataka hata suala la uongozaji wa magari liongelewe na rais.
Wapuuzi nyie.
mhhh umepata breakfast kweli?Pumbavu kweli.
Mnataka hata suala la uongozaji wa magari liongelewe na rais.
Wapuuzi nyie.
Siishi kwa sababu ya kifungua kinywa.Mmhh
mhhh umepata breakfast kweli?
Sidhani kama kuna haja ya kujenga hoja kwenye hoja za kipuuzi.Mbona sasa matusi mkuu...jitahidi kujenga hoja mdogo wangu
Jinsi ulivyojibu kwa kuhamaki inasadifu picha uliowekaSiishi kwa sababu ya kifungua kinywa.
Roho yangu pia husadifu.Jinsi ulivyojibu kwa kuhamaki inasadifu picha ulioweka
Wanatutesa sana hao na tipper zetu za mchanga ndio mtaji wao mkubwaKuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Asante sana sana mkuu.hii ni taarifa muhimu sana. Hatua zitachukuliwa haraka sana. Na je mkuu Huwezi kupata namba za hiyo hardbody? Ili kurahisishia mamlaka husika kutumbua.
Serikali ina washauri inatakiwa wewe ushauri washauri wa serikali ili wao waishauri serikali.
Kama hujaelewa nimemaanisha nini uliza na kama huwezi acha walioelewa wajibu..Kama hujaelewa essence ya thread yangu basi uliza. Na kama huwezi kuuliza acha walioelewa wajibu.
Kama hujaelewa nimemaanisha nini uliza na kama huwezi acha walioelewa wajibu..