tofauti ya wazayuni asili na wazayuni weusi

jamesbond007

Member
Jun 27, 2012
36
8
Licha ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapora ardhi zao na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni pamoja na kuendelea kuuzingira kila upande Ukanda wa Ghaza, lakini Mahmoud Abbas, mashuhuri kwa jina la Abu Mazin, amekubali kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Meja Jenerali Shaul Mofaz. Mazungumzo hayo yamepangwa kufanyika kesho Jumapili, tarehe Mosi Julai. ila huku kwetu kutunaotawaliwa na wazayuni weusi(watanganyikaa) hawataki hata kusikiya mazungumzo na wanaodai haki nchi yao Zanzibar
 
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi uchaguzi mkuu mwaka 2015 atatokea zanzibar.
 
Kweli ila nyie ni watu wakupiga mdomo tu wapalestina wanashika bunduki ababa kama nayaweza twendeni kazi?
 
Waisral(wazayuni kama ulivowarefer) na wapelistna wana a very long n old story, na wazayuni wanajua kwa nini wanadai hiyo ardhi na wala case yako haifai kufananishwa na ya Znz na Tanganyika
 
Hivi wale ambao wanajilipua kwenye magari na mikusanyiko ya watu ni wapalestina? Kama ni wao
wanahitaji kibano cha Hali ya juu
 
Licha ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapora ardhi zao na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni pamoja na kuendelea kuuzingira kila upande Ukanda wa Ghaza, lakini Mahmoud Abbas, mashuhuri kwa jina la Abu Mazin, amekubali kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Meja Jenerali Shaul Mofaz. Mazungumzo hayo yamepangwa kufanyika kesho Jumapili, tarehe Mosi Julai. ila huku kwetu kutunaotawaliwa na wazayuni weusi(watanganyikaa) hawataki hata kusikiya mazungumzo na wanaodai haki nchi yao Zanzibar

kwanini watanganyika unawaita wazayuni weusi ..?
 
kwanini watanganyika unawaita wazayuni weusi ..?

Njiwa,

..mkoloni mweusi, na sasa wazayuni weusi, ni maneno ya wa-ZNZ wanaojiona Waarabu zaidi kuliko Waafrika.

..hivi wa-ZNZ weusi wana nafasi gani baada ya muungano kuvunjika?? Is race and color be a factor in post union Zanzibar?
 
Back
Top Bottom