Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Mimi nataka niwapeleke kwenye neno la Mungu. Ibrahim alifiwa na mkewe Sara akiwa na miaka zaidi 120 na baada ya hapo akaoa msichana mdogo akamzalia watoto sita. Mwanzo 25:1,2 "Ibrahim alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura, Akamzalia Zimran, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishabaki na Sua".

Ibrahim alikuwa rafiki mkubwa wa Mungu na katika uzee wake akaoa msichana mdogo. Mimi naona hakuna shida yoyote ya kidini wala ki afya cha msingi ni maelewane na upendano wa dhati.
 
Kuhusu hili swali me mwenyewe sina jibu kwa upande wa dini. But kibaiolojia kuoana au kufanya tendo la ndoa na mtu anayetofautiana naye umri mkubwa mf. Miaka 10. Lina athiri afya ya muhusika na mwenye umri mdogo atakuwa mdhaifu na mwenye umri mkubwa atajengeka kiafya na kuongeza siku zake za kuishi,

Mbona hii biology imechanganyikana na history!

Acha ushirikina wewe!!
Huu ni upuuzi kabisa..wapi ushahidi wa kiscience?
 
Acha ushirikina wewe!!
Huu ni upuuzi kabisa..wapi ushahidi wa kiscience?

Hili swala ni la ki-scince" pia utafiti uliyofanyika ktk nchi za Ulaya umeonesha kuwa watu wenye umri mdogo waliolewa na wenye umri mkubwa wameathika kiafya yaani ktk mfumo wa uzazi" KAMA KUNA MTU ANAUFAHAMU KUHUSU SWALA HILI KI-SCINCE atusaidie make ubishi umezidi"
 
Madhara kiscience yanatokea kama mhusika yuko katika umri mdogo kwamba hajamaliza kukua. Mwanamke wa miaka 25 akiolewa na mwanaume wa miaka 50 and vice versa hakuna athari kama hiyo unayoisema maana viungo vya uzazi vimeshakomaa.Hakuna mtu anapoteza na mwingine kupata wakati wakujamiiana.Madaktari watatusaidia kutoa jibu sahihi zaidi.
 
Kuna binti nimekuwa namfuatilia kwa muda wa miezi sita. Jana nimefanikiwa kuongea nae nimegundua mambo mawili yanayonitatiza.
1. Amenizidi mwaka mmoja.
2. Ndio anaenda kuanza chuo mwaka wa kwanza.

Mipango yangu
1. Kupata mwanamke niliyemzidi umri angalau miaka mitatu.
2. Awe angalau amemaliza digrii.
3. Mipango yangu toka kitambo nikuoa mwakani 2011.

Naombeni ushauri wenu
 
Tafuta mwingine au badilisha masharti yako kijana.... Kuwa umri na chuo vina tija kwenye ndoa? Kama ni ndiyo basi wasio na elimu wasingeolewa na kudumu kwenye ndoa... Be flexible
 
Mwaka mmoja unakutisha? Ushamskia Demi Moore? Uliza partner wake ana umri gani au wamepishana miaka mingapi.Suala la umri litizamwe kwa misingi ya kuzaa watoto.Kama umri wake umo within range ya kuzaa ( kuzaa ni majaaliwa) basi usiwe na wasiwasi hivyo, huo mwaka mmoja hauna athari.
 
Tausi asante. Binti ana 30 years na mie 29. Na inabidi asome three years. Hapa inakuwaje kwenye uzazi? Ushauri wako plz
 
Tafuta mwingine au badilisha masharti yako kijana.... Kuwa umri na chuo vina tija kwenye ndoa? Kama ni ndiyo basi wasio na elimu wasingeolewa na kudumu kwenye ndoa... Be flexible
Ndugu unajua hapa napambana na mipango niliyojiwekea otherwise sina tabu
 
umri si kigezo!na wengi tumeoa ma binti wakiwa chuo!hivyo yeye kwenda chuo haikuzuii kumuoa cha muhimu upendo
 
halafu ww muongo 30 years old ndio anaanza chuo?mbona kachelewa alikua wapi?
 
If you match with her in behavioural aspect and u real loves her from ur heart, and she also loves u, then that is ur wife. Just wait to finish hes studies.
 
Kijana una hatari. Uliplan kuoa kabla hujapata mchumba!!
Kama umeplan kuoa 2011 ingebidi uwe na mupenzi atleast 2years kabla ili msomane tabia na mambo mengi. Tatizo vijana mnakurupuka ndio maana ndoa nyingi utata mtupu.
Jipange kwanza kijana, usije ukarudi unalia.
 
Ili mradi maini ya ng'ombe hayajazeeka twanga kwa kwenda mbele. hata akiwa chuo wewe mchue tu akikolea ndio atasoma vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom