Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Today's photo

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, May 27, 2012.

  1. kingfish

    kingfish JF-Expert Member

    #1
    May 27, 2012
    Joined: Apr 15, 2011
    Messages: 569
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    [​IMG]
     
  2. MadameX

    MadameX JF-Expert Member

    #2
    May 27, 2012
    Joined: Dec 27, 2009
    Messages: 7,848
    Likes Received: 40
    Trophy Points: 145
    Nataka kujua ulikuwa ni mchezo gani huo sidhani kama ni american football
     
  3. Dotworld

    Dotworld JF-Expert Member

    #3
    May 27, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 3,894
    Likes Received: 52
    Trophy Points: 145
    .
    Sidhani kama anaweza kukujibu ... maana nafikiri yeye mwenyewe hajui ni mchezo gani! ... ngoja tusubiri tuone!
     
  4. kingfish

    kingfish JF-Expert Member

    #4
    May 28, 2012
    Joined: Apr 15, 2011
    Messages: 569
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Sijui kama ni aina ya mchezo
     
  5. Kang

    Kang JF-Expert Member

    #5
    May 28, 2012
    Joined: Jun 24, 2008
    Messages: 4,689
    Likes Received: 195
    Trophy Points: 160
    Lingerie Bowl, American football inachezwa na lingerie tupu. Inachezwa muda wa half-time siku ya Super Bowl Marekani.

    [​IMG]
    [​IMG]

    [​IMG]
     
  6. Dotworld

    Dotworld JF-Expert Member

    #6
    May 28, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 3,894
    Likes Received: 52
    Trophy Points: 145
    .
    Mkuu Kang asante kwa ufafanuzi maana nilim-challenge mleta picha kingfish kuwa hawezi kututajia huu ni mchezo gani na kweli ukiangalia kwenye reply yake khapo juu kwenye post ya no 4 yeye mwenyewe kasema hajui kama ni aina ya mchezo wowote! ...

    Haya Mkuu MadameX jibu limeshatolewa ... huo mchezo unaitwa Lingerie Bowl kwa maelezo zaidi Lingerie Bowl - Wikipedia, the free encyclopedia & In Pictures: Lingerie football's Super Bowl IX - Other Sports, Sport - Belfasttelegraph.co.uk
    & Lingerie Bowl 2012: Forget the Superbowl - Check out the Lingerie Bowl - NY Daily News

    .
     
  7. M

    Mkeshaji JF-Expert Member

    #7
    May 28, 2012
    Joined: Jan 7, 2011
    Messages: 4,264
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Kuna haja ya kuanzisha michezo kama hii hapa nyumbani.
     
  8. Dotworld

    Dotworld JF-Expert Member

    #8
    May 28, 2012
    Joined: Aug 10, 2011
    Messages: 3,894
    Likes Received: 52
    Trophy Points: 145
    .
    Ha! ha! Siungi mkono hoja! Mkeshaji sasa ikitokea ajali kama hizi katikati ya mchezo ... itakuwaje?


    [​IMG]

    .
     
  9. M

    Mkeshaji JF-Expert Member

    #9
    May 28, 2012
    Joined: Jan 7, 2011
    Messages: 4,264
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Duh, cheki refa hata ha-concentrate kwenye mchezo..!
     
Loading...