Toa sababu zinazoonesha kuwa jf imevamiwa na watoto wa fb.

1.thread nyingi za kipuuzi
2.watu wanacomment nonesence kwenye vi2 criaz
3.utoto mwingi
4.thread yako
 
siku zinavyozidi kwenda watu wanakuwa wote sawa tuu kwasababu mtu anatoa thread nzuri tuu na ni kwanianzuri but utashangaamajibu atakyopewa matusi, madongo, maneno ya shombo tuu kwamfano mtu anataka ushauri ila sasa majibu ya hapo mara ooh kwan hapa angaza, nenda kwa mamateri kumbe ni sisi baadhi ya wanajf ndo tunaharibu. Remember jf is the home of great thinkers means we cn think beyond the normal thinking of the others. So ndo hivyo
 
Nakusalimia beibe nasty
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenifumbua macho. Wamejazana hapa lol. Kitu kingine cha kuwagundua haraka ni ID zao.
 
Back
Top Bottom