Toa order ya sim original used unayoipenda

Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?


aaahahahahaahhahaha haya dada nimekuelewa wengine sio wateja wacha tujione
 
Hakuna biashara hapa Kingsimba amepita tu mtaa huu kama vile wamachinga wanavyopita mitaani na visoksi kadhaa mkononi.

Hata mi nadhan kapita tu kukusanya maon watu wanapenda sim aina gan ili aweke Dukan kwake Kibiashara.

Hapa atarud badae na kusingizia hapakuwa na umeme mtaan kwao.

Mkimwona huko mwambien tumemshtukia na uzi wake umefungwa na Mods kwa kosa la kutapel fikra na kusumbua wanaJF.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nachukua oda tuu den naitawapatia bei humu ndani na sitarajii kuuza simu bei aghari kwani next week nitakua naondoka kwenda kufata mzigo so najitaji kujua vitu hot ili nirahisishe biashara.....unaweza kuni sms kwa numba hii 0713935738 sms tuu.
 
Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?
Thank you, Preta....Sasa tayarisha hizo Pound nije tufanye biashara. Nikukute hapo kwa babu Ngarenaro!.
 
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.

nokia E6 iwe original na used, ila ktk hali nzuri kama ulivyosema hapo juu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom