....Toa maoni yako kupitia picha hii !!!!!

CCM wanakula kwa macho Chadema wanagusa na kumega

.....
mingoi.jpg
 
Haa inatosha inatosha - wa upande wa kulia hao

Angekuja na huku basi - wa upande wa kushoto (kimoyomoyo)

Aendelee kutuburudisha - wa katikati hapo mstarini (nao kimoyomoyo pia)
 
...wamemtolea mate sijuwi kama alisalimika !!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom