Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,175
Hivi smile si alishasema anataka bwana harusi above 50?..kongosho muulize bwana harusi ana umri gani?Hujaelewa nini, ndo bwana harusi kakufuata huku
Ni kweli mkuu. Smile alisema vijana wamemtenda vya kutosha hivyo hawaitaji tena kwa sasa, ila kama wewe una 95 mashallah harusi tutaicheza soon...lol.Acha zako mtoto mbichi huyo atake mweny 50. au unataka jua umri wangu? simdogo sana na95 itakapofika 28/12/11
mmmh sijaelewa
Kongosho kama umeelewa nitafsirie tafadhali.
Hivi smile si alishasema anataka bwana harusi above 50?..kongosho muulize bwana harusi ana umri gani?
sijui anamuomba muonjano au mkulano kijanja
Duuh! Haya bwana mwenye dada akosi shemejiii
Alwilwiliwlwiiii
Smile dadangu, kupendwa ndio huku, kupendwa kuheshimiweee...by Yusufu I guess( not very sure)
Ila kibabu Rejao nahisi kama kilishabook hapa, so Tingi...noa kisu chako
Huyu jamaa ameamua kufunguka!
=ana miaka 22 ila bado mdogo sana nussy plz kajengen vizur sawa?Unamiaka mingapi kama upo chini ya 18 sio mwako