To ''love'' and ''feel loved''...!

AD,
Is this that you wanted to say dear?
Somehow I feel like u have more that this
Let us now jamani....

hahahahaha lol
oohh dear i said enough yesterday
so im not gona say anymore im just gona LOVE
hahahahahah lol i think one day you told me
Action speaks louder than words..... mmmmhh
 
hahahahaha lol
oohh dear i said enough yesterday
so im not gona say anymore im just gona LOVE
hahahahahah lol i think one day you told me
Action speaks louder than words..... mmmmhh

yeah, so u gonna LOVE and LOVE and LOVE again? mmh
that, thru action,,,
 
yeah, so u gonna LOVE and LOVE and LOVE again? mmh
that, thru action,,,
I dont care if people love me or not ..
I'm just gonna love them for nothing ...
Live well-Laugh often-love much
AD
A%20S-rose.gif
..

hahahahahah lol
sasa mzima lakini weye?
dahhh mi nlizani umekoroma
saa hizi lol. au bado una gawa Upendo??

 
I dont care if people love me or not ..
I'm just gonna love them for nothing ...
Live well-Laugh often-love much
AD
A%20S-rose.gif
..

hahahahahah lol
sasa mzima lakini weye?
dahhh mi nlizani umekoroma
saa hizi lol. au bado una gawa Upendo??



AD,

Ukiweza kufanya hivyo hata kwa 75% basi jihesabu kwamba umeshapona matatizo ya kijinga jinga na magonjwa ya hatari kama stroke na BP!
 
AD,

Ukiweza kufanya hivyo hata kwa 75% basi jihesabu kwamba umeshapona matatizo ya kijinga jinga na magonjwa ya hatari kama stroke na BP!
Hahahshhah lol
mzee DC I'm trying hard
So far so good.. hopeful
itaendelea kuwa hivi lol..
 
kama mnagongea.......... inatosha ni feeling(feel loved) tosha mengine hayo ni ISIDINGO na kiburi tu,
kama bado ndoa love ni msamiati it is incomplete , ni uongo tu hapo na kupotezeana muda, hata kama una feel loved ni vya uongo tu again ISIDINGO
 
Heee hiii thread imefikia huku saa ngapi? kwa hiyo tumeamuaje? tupende tu hata tusikopendwa in a hope that mbeleni utarudishiwa mapenzi ya dhati au ukiona hupendwi unapopendwa uanze mapema?
 
ninawashukuru sana kwa michango mizuri...!

BARIKIWA SANA KAIZER
BARIKIWA SANA STEVEDII
BARIKIWA SANA DARK CITY
BARIKIWA SANA CPU
BARIKIWA SANA ASHA D
BARIKIWA SANA FINEST & AFRODENZI
BARIKIWA SANA BLACK-LABEL

mubarikiwe wooote mabibi na mabwana mliotoa ''honest opinions'' hapa
 
We extension kebo
Siku hizi naona hata hiyo SEX/SEXUAL INTERCOURSE kuonekana kama moja kati ya vichocheo vya mapenzi imeshachuja sana. Badala yake imebaki tu kuwa SEX as SEX

Kwa maoni yangu inategemea unaifanya na nani. Kama kuna mapenzi ya kweli basi inatofauti kubwa na pale inapokuwa inafanywa kwa matamanio ya muda tu.
 
Lizzy darling.................................
Naamini mimi na wewe tumemwelewa mfalme wa amani kwa upeo mmoja. Teamo anazungumzia upendo in general, lakini wengine wamekonsetreit na upendo wa mapenzi ya kulalana kitandani.

Kizazi hiki, ngono ni somo kuu, halikwepeki!

Babu bwana...............hebu nitafsirie huu mstari wa mwisho wa thread ya Teamo usemao.........Wakuu mimi nawauliza kwenye malovee haya ambayo yanatutesa 24/7 DO WE NEED TO LOVE AND FEEL LOVED SIMULTANEOUSLY?

Ni upendo gani unatutesa 24/7?? So kwa kadri mtu swali hili lilivyomgusa ndivyo alivyolijibu..Inaelekea wewe na Lizzy upendo unaowasumbua 24/7 ni ule general wakati wengine ni ule wa kitandani kama ulivyouita na ndio maana wakajibu kutokea kwenye angle hiyo
 
...nimekuwa nawaza nikiwazua jibu zuri kwa sredi hii, lakini sijafanikiwa.


Acha nichangie kwa kusema,
  • jipende
  • penda,
  • jiweke kwenye mazingira ya kupendwa.
Hayo yamo ndio pekee yaliyo ndani ya uwezo wako.
Hilo la utapendwaje lisikuumize sana kichwa, kwani hakuna kipimo sahihi kwa intangibles.

Mapenzi ya mtoto kwa mzazi, au mzazi kwa mtoto yapaswa kuwa unconditional.
Mfano mzuri kwa mtoto wa kike....h ehe hehe...
TEAMO presha ishaanza kukupanda ee?

Ipo siku binti yako atampenda mwanaume mwingine aka Mumewe. Atampenda kuliko wewe aliyekunyea kiganjani, bila kusahau ulivyokesha nae usiku ukimbembeleza alale bila kujali utavyosinzia kazini, ulivyojinyima kumsomesha, etc...

Ndio circle ya maisha. Kubali Matokeo.
 
Teamo
Hili swali ni gumu kusema ukweli. Katika muda wote niliokaa mie kwenye hiki chumba kiitwacho mapenzi nadhani ni afadhali ukaconcentrate kwenye kulove than to feel loved ........kwa sababu ukiangalia maudhi, vyanzo vyote vya matatizo katika mahusiano utaona yanatokea baada ya mtu ku-critically analyze kama anapendwa au lah............
.ukiigundua kuwa mwenzako hakurespect unaconclude kuwa - you are not being loved
Ukigundua mwenzio anacheat (hata kama ni kwa bahati mbaya!)- Unaconclude kuwa you are not being loved
Ukigundua mwenzio kakukosea kidogo/ hajatimiza majukumu yake - unakimbilia you are not being loved

To me I think it is better to feel love than feel loved, to give than receive.
Dah!!! Mjukuu well said
 
muzee unayakumbukia masredi ya zamani eeh!..?

ngoja leo niangalie namna ya kuchangamsha jamvi
 
muzee unayakumbukia masredi ya zamani eeh!..?

ngoja leo niangalie namna ya kuchangamsha jamvi
Naona umeamua kutafuta vi apetaiza hahahaha
Hii ndo mi thread yetu ya kipindi kile!
Leta kitu hommie tukipeleke peleke kama zamani......
 
Pia hata kutoa msaada hupaswi kuwazia PAY BACK Yote tunayofanya kwa upendo hapa duniani Mungu ndiye anatulipa kupitia kazi zetu tunazofanya, na hata bahati mbalimbali ktk maisha yetu. Mi najisikia raha sana kusaidia mwanadamu mwenzangu.[/QUOTE] Tenda wema nenda zako,huo ndio upendo ,vingine vyote ni subsets tu
 
NIMEKUELEWA VIZURI sana hapo sipiyuu....! swali langu la msingi sasa: IF I LOVE SOMEONE.....AND NOT FEEL LOVED BY HIME/HER(certainly he/she doesn't love me),yet I HAVE DONE ENOUGH TO PROVE MY LOVE TO HIME/HER WITHOUT HIM/HER SHOW/LOVE ME BACK(i gave somebody my love,my body,my soul,my trust lakini yeye hata hajali kabisa).....!what do i do? a)keep on going through the hell? b)give up? c)none of the above?
Afadhal now u are open. If it happens u have loved to the extent of not being encouraged to go on loving ,then change the way u exercise love to her ,but never ever act like an enemy. An effective method for u is not clinging any more neither giving up. Waswahil tunasema mpotezee kiduchu, mchukulie kawaida sana kama wengine tu. Kama ulikuwa unamfanyia vitu fulani vizuri punguza au acha kabisa. Kama akiwepo katika kundi na kawaida ilikuwa ni ww kwenda kumsalimia basi msalimie lakin kama wengine wote na usifanye cha ziada ,make sure she notices the difference ,akikuuliza mwambie tatizo but u have something more important to do or even think about and show your stand ,do not think of losing her coz u have not yet gotten her. Kwa mtazamo wangu kumpenda ambaye hamjachangia damu ni lazima awe na positive effect to your life.
 
Back
Top Bottom