Elections 2010 "Titanic inaweza kuzama? Haiwezi!"

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Hayo maneno ni swali la abiria tajiri wa Titanic kabla ya kupanda meli hiyo na jibu la kujisifu kutoka kwa injinia aliyeshiriki kujenga meli hiyo. Lakini furaha yote iligeuka kuwa majonzi makubwa baada ya meli hiyo kukumbana na jiwe kubwa la barafu (iceberg). Hivi ndivyo itakavyokuwa kwa CCM a.k.a. Titanic siku moja baada ya tarehe 31/10/2010 wakati CCM a.k.a Titanic itakuwa na majonzi makubwa kwani baada ya kukumbana na Dr. Slaa a.k.a Jiwe la barafu la baharini (iceberg) baada ya kutangazwa kuwa mgombea Urais CCM iligonga jiwe la barafu, Dr. Slaa na kukatika katikati, na tangu hapo imekuwa ikizama taratibu na hapo 31/10/2010 ndipo kipande cha pili kitakapo vutwa na kuishia baharini na kubaki kama 'wreckage'!!

Dalili hizi hapa:

1. Mwananchi www.mwananchi.co.tz
Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
Willibrod Slaa - CHADEMA (47) 88.7%
Jakaya Mrisho Kikwete - CCM (6) 11.3%
Mutamwega Mugahywa - TLP (0) 0%
Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi (0) 0%
Ibrahim Lipumba - CUF (0) 0%


Number of Voters
: 53
First Vote
: Tuesday, 12 October 2010 11:18
Last Vote
: Tuesday, 12 October 2010 13:49


2. ThisDay www.thisday.co.tz
Do you approve or disapprove of President Jakaya Kikwete's overall job performance (2005-2010)?

Approve (7%, 10 votes)

Disapprove (92%, 124 votes)

Undecided (1%, 1 votes)
Total Votes: 135

3. JamiiForums www.jamiiforums.com
Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) (2,016) 21.93%
Willibrod Slaa (CHADEMA) (6,308) 68.63%
Ibrahim Lipumba (CUF) (262) 2.85%
Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) (484) 5.27%
Mutamwega Mugahywa (TLP) 121 1.32%
Total votes: 9191
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom